Ndiyo maana mnabwabwaja bwabwaja humu ndani? Sijasema kupublish sio muhimu, nimesema publishing ni muhimu ila sio for the sake of publishing kwa akili ya kukimbilia promotion kama wanavofanya hao jamaa zako, imekwisha fahamika wazi kwamba watu wengi wanaojifanya wanapublish wengi wanapublish...