... sio kwamba akipata hela ana badilika ... yaan akipata hela ndo utaiona tabia yake ... hiyo ndo tabia yake na sio kwamba amebadilika ... kwaiyo pengine ungemkita tayar ana pesa basi ungemuona na hiyo tabia ambayo ww ndo kwanza umeiona na ndo unasema amebadilika... tukipata pesa hatubadilik...
.. yaa maashara shabbaab manistatwaa minkumulbaab falyatazawwaj ... fanya subra mashababi waje utampata tu In Sha Allah .. japokua mm pia ni shabaab sema bado sijakua tayari kuoa ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.