Recent content by barikiashabiru

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Jibu swali kwa uelewa wako,uislamu ni uarabu? Kuna kisa kimewai tokea eneo flani hapa Tz,waarabu waliingia zao bar na kanzu zao,waswahili wakatahamaki na kuzua taharuki,walijibiwa kuwa wao ni waarabu wa kikristo na kanzu kwao ni vazi la kimila tu kama ilivo wamasai na shuka zao!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natoa angalizo kwa siku ya kesho Jumamosi ya Juni 10, 2023

    Huku kwetu tayar umeme umeshatoweka mida hii ya saa mbili kamili
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

    Kwann asiwachukie kama utendaji wao wa kazi ni mbovu kiasi cha kusababisha bandari yetu kuuzwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    Duh....stori kari sana Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Atheists (mnaopinga uwepo wa Mungu) fanyeni kama mnapita hapa hivi

    Wenye kujua dini naomba kumfahamu Mungu,Mungu ni nani?au Mungu ni nini?alafu tuendelee na hoja ya kuwepo kwake etc Natanguliza shukrani Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Atheists (mnaopinga uwepo wa Mungu) fanyeni kama mnapita hapa hivi

    Kwanza Mungu ni nani au Mungu ni nini? Nasubir majibu!! Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Atheists (mnaopinga uwepo wa Mungu) fanyeni kama mnapita hapa hivi

    Sijaona hoja ya msingi hapo... Na kwa nini tuamini kupitia ishara pasipo kitu chenyewe? Kama unasema tutamuona Mungu kwani kuna ubaya gan tukitaka kumuona saiv? Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Mkuu rejea kwenye vitabu tena...ukristo umeanzia ulaya..kuna tofauti kubwa kati ya yesu na ukristo...!!kimsingi yesu hakuwa mtu wa bara ulaya lkn pia hakua mkristo!!ukristo umetoka bara ulaya hata yesu mwenyewe haujui ukristo maana umeanzishwa mwishoni mwa karne ya 3 baada ya yesu kupigwa zake...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

    Kuongezea hapo,hapo awali hapakuwepo na mabara haya tuliyonayo sasa,ilikua ni bara moja lililoungana likijulikana kama pangaea,lkn kutokana na nguvu za kitektonik bara hilo lilimeguka had kufikia kuzaa mabara haya tuliyonayo sasa,kabla ya kuvinjika kwa bara hilo jamii zote zilikua za rangi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

    Wahindi weusi bado wapo,sema wanabaguliwa,huwezi kuwaona kwenye media,movies,uongozi,elimu za juu etc..lkn still bado wapo!! Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

    Acha ushamba dogo, umewai kusikia kitu kinaitwa sunscreen lotion? wazungu wakiwa maeneo ya jua kali hupaka hizo lotion ili kupunguza ukakasi wa miale ya jua la sivyo wanaugua skin cancer kwa sababu ya jua tu. Lakini sisi weusi kwa sababu ya rangi ya ngozi yetu, hata tukae chini ya jua kwa miaka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

    Mshana jr,mawasiliano yako tafadhar
Back
Top Bottom