Recent content by Barickhan majura

  1. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Naomba kuulizia hiv ni kwanini ukituma maombi ajira portal inakuandikia application failed ilihali unavigezo vyote kulingana na tangazo husika lilivoainisha
  2. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Naomba kuulizia hivi ni kwanini ukituma maombi Ajira Portal inakuandikia application failed ilihali unavigezo vyote kulingana na tangazo husika lilivoainisha.
  3. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    Vigezo vya clinical medicine diploma ni C Mbili na D moja kwenye PCB pia math na engl is an added arvantage
  4. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    Unapata kikubwa uwe na vigezo vinavyotakiwa. Kwan unataka fani gani?
  5. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    *[emoji95]VYUO 537 VILIVYORUHUSIWA NA NACTE KUFANYA UDAHILI KWA WANAFUNZI WA CERTIFICATE NA DIPLOMA 2019/20.* Cheki Orodha Kamili Hapa[emoji117]https://www.ajiraleo.com/2019/05/nacte-list-of-537-colleges-allowed-to.html?m=1 *[emoji95]NACTE WAMEFUNGUA RASMI DIRISHA LA KUTUMA MAOMBI KWA...
  6. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Clinical officer

    Wametoa leo. Udahili ndo unaanza leo muda wowote. Kwa saiv link yao haifunguki
  7. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Mahitaji muhimu kwa wanaojiunga na vyuo vya afya

    Vipi kwa tuliopo mikoani mnatuma? Full package ya medicine
  8. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

    Asnte sana mkuu.
  9. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

    bado hawajatoa. endelea kusubiri tuu
  10. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

    asante ndg. But vigezo vya kujiunga na CO ni kama vp kama utakuwa unavifaham
  11. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

    Jamn naombeni kuuliza hiv nacte wanaanza lini udahil kwa vyuo vya diploma na certificate kwa mwaka huu 2019. Pia je ni vigezo gani vya ufaulu kujiunga na course ya clinical medicine dplma
  12. Barickhan majura

    JamiiForums Tanzania Kuomba Vyuo Ngazi ya Diploma!

    nackia application kupitia nacte kwa vyuo vya serikali zinaanza mwez wa tano katikati. lakin kwa vyuo vya Prvat udahil unaendelea saiv
Back
Top Bottom