Kuomba Vyuo Ngazi ya Diploma!

Kuomba Vyuo Ngazi ya Diploma!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,751
Habari wadau..

Nina ndugu yangu anataka asome Diploma ya Pharmacy/CO.. Mwakahuu.. Je Application zinaanza lini..

Pia Naomba na taarifa zingine za Muhimu ikibidi!

Asanteni!
 
nackia application kupitia nacte kwa vyuo vya serikali zinaanza mwez wa tano katikati. lakin kwa vyuo vya Prvat udahil unaendelea saiv
 
Udahili kwa vyuo vya private na serikali huwa unaanza pamoja na kugungwa pamoja
 
Back
Top Bottom