Recent content by bardawi

  1. bardawi

    JamiiForums Tanzania Masuala ya Mirungi/Mairungi katika nchi mbili za Kenya na Tanzania

    Napenda mirungi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bardawi

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona sasa Mke wa Rais wa Puerto Rico akiwa anaambatana na Mumewe kila mahala na anapendeza mno Kimavazi

    Pale jamii forum inapogeuka kuwa insta gram
  3. bardawi

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona sasa Mke wa Rais wa Puerto Rico akiwa anaambatana na Mumewe kila mahala na anapendeza mno Kimavazi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. bardawi

    JamiiForums Tanzania Zijue Ndege Binafsi Za Viongozi Mashuhuri Duniani!

    Dunia ni tamu ingawa tunaiacha tunazikwa uchi na kipande cha kitambaa wengine na nguo mbili tu koti na suruali(suite)
  5. bardawi

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara mkubwa Irani anyongwa kwa makosa ya rushwa na kujihusisha na ufisadi

    Bongo angepewa na medali ya mfanyabiashara bora mlipa kodi mtu mwema
  6. bardawi

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

    Haki ya mungu viumbe sie kwa kujisahau.... Leo hii Mmarekani anathubutu kumchezesha muziki msaudia... Dooh!!!
  7. bardawi

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

    Wazungu wanatumia akili nyingi sana kumharibu mwarabu wanaanza na kila amachokipenda kwakuwa karibu nae kimsaada zaidi
  8. bardawi

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

    Wanaanza kuvutwa taratiiiibu na wazungu yaani kuja kuelewa walikuwa ni watu wa aina gani kwao na madhara yatokanayo na ukaribu huo ni kizazi cha 20 kutoka sasa.... Mwarabu wa saudia ndiye mpenda starehe na anasa lakini kwa siri ya kumficha mwanadamu
  9. bardawi

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa energy drinks

    Eti azam energy inachanganywa na k-vant... Jamani jamani hayo matumbo yenu hamjihurumii
  10. bardawi

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa energy drinks

    Kuna energy Inaitwa power waijua
Back
Top Bottom