Recent content by Barbiedoll

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

    Ndoa haipimwi kwa kitu mana ina mambo mengi mno We mwenyewe kadri unavyozidi kukaa humo utajipima tu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Mimi kwetu tumezaliwa 2 wakike tupu Sometimes huwa natamani ningekua na kaka tubadilishane mawazo au dada mwingine mkubwa Kwa hili nnalopitia ndo naona bora nami nifikishe hata 4 wasiwe wapweke Hapa siongelei mambo ya ela!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Kukaa kimya bila kutangaza matatizo yako kwa watu, Ukipata nafasi nenda kakae baharini utazame mawimbi ya bahari kwa afya ya akili yako, Nilichogundua kwenye maisha kuna vitu lazima upitie hata iweje na unavyojaribu kukwepa ndo inakua mbaya zaidi so just face it,nakuhakikishia hakuna kinachodumu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

    Na hili ndo tatizo ya hawa engineer Anakula ela ndefu kazi anaiuza kwa fundi maiko Asa usiombe nae fundi maiko aiuze kwa vibarua,utaloa ndani ya nyumba utasema hakuna paa🤣🤣🤣
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

    Sio kweli Mbona nimesikia hiyo ni event ile ya madini iloandaliwa na wizara so hapo ni kama wanatangaza madini
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye nguvu ni yupi?

    Nimependa hiyo picha
  7. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa nguvu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Kama nimekuelewa hivi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Dah Inasikitisha sana aisee Mkewe sijui atakua na hali gani
  10. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Dah Apumzike kwa amani
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je!! Kuna haja ya kumfata mumewe kituo kipya cha kazi??

    Anapaswa afanye anachokitaka na kukiona sawa kwake
  12. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Idara ya Usalama wa Taifa na TAKUKURU, wasaidieni wazee wastaafu wa East Africa Community wanateseka na wanapigwa pesa

    Kuna mtu ameniambia ameona wastaafu wakishukuru wameanza kulipwa kwa awamu
  13. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Idara ya Usalama wa Taifa na TAKUKURU, wasaidieni wazee wastaafu wa East Africa Community wanateseka na wanapigwa pesa

    Mimi nimeona wmesema wameanza kulipwa this november kupitia hazina
  14. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Idara ya Usalama wa Taifa na TAKUKURU, wasaidieni wazee wastaafu wa East Africa Community wanateseka na wanapigwa pesa

    Mkuu una any updates? Ni kweli hawa wazee wamelipwa this november?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Alafu ukute alikusanya 1m tu ye akaongeza sifuri aonekane ana ushawishi mkubwa, Ngoja tuone kati yake na mh.nani ana strong army! Ila akivuka hili mshaurini aache kimbelembele anguko lake litakua kubwa huko mbeleni mana anajaa kwenye mifumo ya watu!
Back
Top Bottom