Recent content by barazza lengurumo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    nipo kwenye foleni hapa moshi arport primary school. vijana ni wengi mno na foleni inaenda vizuri
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jamani Tujuzane Hali Ya Jimbo La Kigoma Mjini

    zitto alishasema anapenda kufundisha......so tunampeleka shule kuanzia leo...ajiandae tu kutuma applivation za kazi kwenye vyuo mbalimbali
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa will win a landslide

    kwa hali nnayoishuhudia hapa vituonii.....ccm kushinda ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.... ndio maana wanajitahid sana kuingiza kura fekiii
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM wanatengeneza vitambulisho feki

    ccm ni mashetaniiii.... UKAWA WASIFUMBIE MACHO VITENDO HIV VIOVU WAPAZE SAUTI DUNIA ISIKIE
  5. B

    JamiiForums Tanzania Moshi inakwenda kumpata Mbunge atakayewajali wananchi, tuwe tayari

    CCM WAKIPATA HATA 30% ya kura nabadili kabila.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Message from Juma Mwapachu

    great words from great people....viva lowasa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Hahahaha CCM ni hewa kabisa. walijipanga kuja kumtukana lowasa tu na co mdahalo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    mdahalo hauna maaana coz nchi ipo gizan mtashuhudia watu wachache mliopo ukumbini.....so bora aendelee na ratiba yake.... alafu hao twaweza c ndio wale wazeebwa tafit fekii?????
  9. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

    Invalid Attachment specified. The account might have been REMOVED by Administrators or MERGED into another account. If you think this is wrong, please notify the administrator
  10. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

    kwa nn hazifungukiiii????
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wale wanaolipwa kuzomea

    ccm kuna vijana!!!!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    hahah mkuu umenikosha sana....naomba niongezeee asisahau kubeba na maji ya kunywa manake sisi huwa hatugawi pilau kama wao...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

    hiv hio hela ccm waliyotumia kununulia hizo kofia na t shirt si wangewalipa walimu stahiki zao!!!!! aibu kubwa hiii
  14. B

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    (AUDIO) TAMKO LA KAMATI YA MASHEIKH NA MAIMAM WA DSM KUHUSU TAMKO LA KICHOCHEZI LILILOTOLEWA NA SHEIKH KHALIFA HAMISI WA TAASISI YA IMAM BUKHAR FOUNDATION mbele ya waandishi wa habari Jumapili ya Tarehe 11-10-2015, kwenye ukumbi wa hoteli ya Trevestline Dar es Salaam. MAELEZO...
Back
Top Bottom