Recent content by baramusa

  1. B

    UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    Waliwahi zomea na pia kutoka bungeni mara nyingi hapo kabla na matokeo yake yalikuwa siyo chanya kivile labda tunategemea miujiza
  2. B

    UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    wabunge wa UKAWA walitoka kabla ya rais kuanza kutoa hotuba yake na sikweli walitoka wakati hotuba ikitolewa. Naomba tuweke taarifa vizuri.
  3. B

    Kafulila aliangusha serikali #ESCROW ufisadi, Lembeli #TOKOMEZA. Yamewakuta! Hawa ndio watanzania!

    Hivi kuichagua CCM ndiyo kuonesha ujinga? Watu wa Kilimanjaro bado nao waliamua kumrejesha Mh. wa CCM katika jimbo moja na mimi nilipouliza niliambiwa lile ni jembe na halina majivuno. Hivyo yapasa kusema kuwa wananchi walichagua majembe yao. Sisi ni lazima tukubali kuwa hivyo ndivyo...
  4. B

    Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

    kwani ngome ni kujaza watu mikutanoni au idadi ya kura zitakazopatikana. Kama ni idadi ya watu hakuna mshindi kama ni kura wakati ukwadia tutafahamu. Wote tujiandae kisaikolojia kusiakia tusivyokubali na kuelewa tusioyajua.
  5. B

    Tanga Maduka yote yafungwa kumsubiri lowassa!!

    Kila anayekuja kusikiliza silazima ampigie mgombea umtakaye kura. Hivyo wapo wengi wanakuja muona na kumsikiliza mgombea nini wataamua watanzania tusubiri baada ya kupiga kura. Na hapo ndipo tutakapo sema tupendavyo. Taja unayemtaja kitu muhimu amini kuwa iwapo utapiga kura ujue kura yako ni...
  6. B

    Kamati ya Kampeni ya CCM kuongea na wanahabari kupinga kauli ya Jaji Lubuva kutoa matokeo vituoni

    Pamoja na kuwepo TV vituo vingi hivi huwa hamfuatilii habari au ndiyo wakati wa kusema kila kinacholetwa ni sahihi. CCM wenyewe kupitia mjumbe wao wa kampeni alikubaliana na Jaji. L kuwa kila kitu kitabandikwa pale kituoni. NAOMBA JAMANI KUNA MENGI YA KUFUATILIA HUU MWINGINE NI UZUSHI NA UZUSHI...
  7. B

    Nimebaki kushangaa tu

    Muheshimiwa aliendelea kusakamwa kwa miaka yote hata asipate kwa kupumua. Watu bado na wanaendelea kuhoji kuhamia upande uliyokudhihaki ndiyo kukufanya kuwa msafi. Tanzania bado siasa ni za kutumia majina ya watu. Tuende mbaili kuonesha namna gani jambo Fulani utalitekeleza na watu wakaelewa...
  8. B

    Nimebaki kushangaa tu

    Tatizo si CCM kuwa safi ila tatizo ni namna watu wa chama Fulani walituaminisha mtu huyu mmoja ndiye FISADI MKUU. Hivyo nivigumu kwa wananchi wanaoelewa kuamini hii dhana ya kutuaminisha kuwa huyu huyu diye atakuja kutukomboa. Hata kudiriki kusema ni vema nchi tukampa MWIZI MZOEFU kuliko kumpa...
  9. B

    Samweli Sitta athibitisha Richmond ni ya Kikwete

    Mtanzania anayeshirikisha akili ataibakiza CCM ila anayetumia muhemko ataiondoa. Unahitaji upembuzi yakinifu kufanya na siyo vijimistari viwili.I
Back
Top Bottom