Recent content by BarakaMaiseli

  1. B

    Wapi naweza kupata arduino board yoyote Tanzania

    Hizi relay and Arduino zote zinapatikana BAFREDO Electronics. Mfano, Arduino UNO ni TZS 35,000 iwapo utanunua kuanzia 1 -- 5 pcs, na 30,000/= kuanzia 6 pcs. Namba zao ni 0659-087426.
  2. B

    Wapi naweza kupata arduino board yoyote Tanzania

    Ardunio UNO ni TZS 35,000 iwapo utanunua kuanzia 1 -- 5 pcs, na iwapo ni zaidi ya 5 pcs ni TZS 30,000. Hiyo ndo bei kwenye namba ya hapo juu, 0659-087 426 (BAFREDO Electronics Co. LTD).
  3. B

    Msaada: Nahitaji mtu mwaminifu anayetokea China mwezi huu

    Vifaa hivi vyote ulivyotaja vinapatikana kwa wingi duka moja linaitwa BAFREDO Electronics, number ya simu ni 0659-087426. Duka lipo opposite na njiapanda ya barabara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, au ni upande wa bondeni wa Sam Nujoma Road. Utapata hapo dukani Arduno aina zote, programmers...
  4. B

    Wapi naweza kupata arduino board yoyote Tanzania

    Unaweza kuwasiliana na 0659-087426; duka linaitwa BAFREDO Electronics, lipo opposite na njiapanda ya barabara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, Sam-Nujoma Road, utaona bango la maandishi ya LED linawaka na maneno yana scroll. Pia kwenye hilo duka kuna vifaa vingine vingi vya Electronics vya...
  5. B

    Fursa za kutangaza biashara zako China

    Watanzania wenzetu, kampuni yetu ya TSHDF (www.tshdf.co.tz), kwa kushirikiana na kampuni ya nchini China inayoitwa Heilongjiang Jingxing Technology Co. LTD wameingia makubaliano ya kuanzisha mradi mkubwa wenye lengo la kuunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wale wa china. Pia, mradi...
  6. B

    Jinsi ya kuanza biashara ya mabango

    Watanzania, napenda kufahamu kuhusu hii biashara ya mabango makubwa kwa ajili ya kutangaza biashara za makampuni mbalimbali. Na, nina interest zaidi na mabango ya ki elekroniki, au niseme ambayo yanatumia umeme na yanakuwa yanaonesha tangazo zaidi ya moja kwa awamu awamu. Kwa mfano, inaweza...
Back
Top Bottom