Recent content by baraka1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Usitudanganye wakati unajua tigo Airtel na mpesa hawana wanapotunzia hizo pesa zetu zaidi ya kuziweka kwenye hizi benki tunazoonyesha kutokuziamini.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya kidato cha nne,Serikali na Wizara husika viwajibike.Tutatengeneza Taifa bovu

    Ni sawa kabisa ila nadhani tumelalamika vya kutosha. Je suluhu yake ni nini? Tufanyeje ili tubadilike? ??
  3. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli kauli hizi (nikiwa Rais, haki ya MUNGU, wataona, nitawanyoosha) Sio za kiongozi

    Hapo anavunja amri ya pili ya Mungu {Usiape Bure Kwa Jina la Mungu Wako}, hii ni dhambi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

    Umenena vyema kuhusu tingatinga, hapo kwenye rangi nyekundu ni kwamba usipoliendesha tingatinga linabaki tu limetulia halifanyi chochote. Ila ukishaanza kuliendesha linakuwa katika hali uliyolielekeza wewe mpaka ulipe maelekezo mengine ndio litabadili kile lilichokuwa linafanya. Dah! hili jina...
  5. B

  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Anasema kiafya yuko fiti lakini sio fiti kabisa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mbona mkuu anapiga miayo, au hali ya hewa sio nzuri?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Wameanza name Temeke hoyeeeeeeee
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

    Iko saa tisa, source TBC1.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Hivi ukijaribu kumeza kitu halafu kikakushinda unafanyaje? Ukipata jibu basi ndicho alichokifanya PM.
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Spika Bunge la Kenya

    By simple mathematics, the one with 29 votes should be the winner against 28 votes. Unless otherwise, I don't understand!
  12. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais J.Kikwete na Rais J.Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa Mpaka

    Miwani, pete, saa (TABASAMU)
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Nafikiri inaitwa hamira au amira
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mitral Valve Prolapse (MVP)

    I like your information. Just to witness, I myself was feeling fatigue accompanied by chest pains (on the right of my chest) and could not do my job well at 28 yrs. After consultations with doctors and doing all the prescribed tests, I was diagnosed with MVP in 1988 and subjected to antibiotic...
Back
Top Bottom