Tupia picha yeyote ya mji unaoishi na mandhari za kupendeza eneo uliopo uliyopiga mwenyewe kwa simu au camera na sio za ku-google,hii picha mimi nimepiga leo nikiwa Themi,Arusha
haya KARIBUNI sasa:)
Kama wewe unasikiliza haimaanishi waTz wote wanaisikiliza...kwanza hiyo Efm nasikiaga tu kwenye mitandao kuwakuna hiyo radio station,lakini huku bado sijawahi isikia...labda wanapatikana Dar tu na mikoa ya pwani tu,nadhani bado clouds fm wapo juu na wana fanbase kubwa na watangazaji wao wako...
Yap kwa miaka yote niliopo arusha hali hii sio ya ajabu hutokea kila mwaka ...bado sijaona mwaka uliopita bila hali hii kutokea especially huonekana kipindi cha rain season na kile kipindi cha baridi kali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.