Recent content by Baraka DSM

  1. B

    Nina milioni 8 nifanye kipi kati ya kununua bajaji au kununua gari kwa ajili ya Uber na Bolt?

    Hiyo milioni nane umeipataje? umetumia muda gani kuipta hiyo milioni nane? Mi nafikiria ungeendelea kufanya hiyo kitu iliyokuingizia milioni nane, hizo biashara zingne ulizotaja ni pasua kichwa haswa kama utampa mtu. MIMI NAJUTA HAPA NA HIZI PIKIPIKI MBILI SIJUI NIUZE SCRAPERS?
  2. B

    TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    London Level 30 20 Fenchurch Street London EC3M 3BY United Kingdom P:+44.20.7726.3636 F:+44.20.7726.3637 Zama zile zinarudi kwa kasi sana na hatutaki baadae tuanze kulaumiana kwamba kampuni ni hewa na wala haina ofisi. Sisi wanajamii forum kwanini tusimpeleke Mzee wetu nguli Pascal Mayala...
  3. B

    Rafiki wa Kike anahitajika

    Rafiki wa kike anahitajika umri kuanzia miaka 18 mpaka 50 Awepo maeneo ya Dar Dini yoyote kabila lolote Karibuni pm
  4. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Kwahyo kwakuwa ni Mawese basi yafanyike tu kiholela? Halafu hakuna mtu anaelingansiha mawese na pombe, hiyo ni thread mpya
  5. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Wamesahau hadi thread za wadada kuuliza wale WANAUME WANAOUNGANISHA HAD VITATU WAKO WAPI SIKUHIZI? Hzo ni effects za mavyakula yetu.
  6. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Ujinga ni nyumbani kwenu lakin serikali yako inajua umhimu wa hii kitu
  7. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Wewe ndo umerukia tu, soma vizuri ishu sio brand, ishu ni uwezo wake na apewe msaada wa kuwa na brand yake na awezeshwe MTAJI na utaalamu zaidi, hapo vipi?
  8. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Kwani hujasikia hayo mawese hayana viwango na hayathibitishwa na TBS? Sio pombe tu inaua ata dawa ya meno isipokua na kiwango cha matumizi ya afya ya binadamu inaua.
  9. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Sawa asaidiwe atengeneze brand yake, sbb ata wamawese tumembiwa urasimu wa vibali ni sababu, kwahyo hata hawa wa pombe ishu ni URASIMU WA VIBALI
  10. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito. Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe. Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
  11. B

    Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Romy Jones kaka yake Diamond
  12. B

    Ukweli kuhusu crypto currency mtu hawezi kukuambia

    Aisee mwaka juzi nilinunua bitcoins kwa Tshs 5000 sawa na 0.00048 bitcoins. Juzi nikaingia kuchek Ile 5000 thamani yake kwa Sasa ni elf60.
Back
Top Bottom