Recent content by Barack Obama jr

  1. Barack Obama jr

    Zitto: Kigogo kutoka CCM ambae aliwahi kushika nafasi nyeti serikalini, kukabidhiwa kadi namba 2 ya uanachama wa ACT Wazalendo

    Hakuna mwanaccm mzee anaweza harakati za upinzani nchi hii. Huyo Membe anaweza kukaa korokoroni miezi hata miwili kwa kesi za kubumba? Watanzania lazima tujifunze kutoka na makosa, Lowassa ameacha funzo kubwa sana upinzani. Kama kuna watu bado hawajajifunza kutokana na makosa ya upinzani...
  2. Barack Obama jr

    Waziri Mkuu Azindua Kiwanda Cha Kuchakata Muhogo

    Wiki iliyopita tuliambiwa amezindua hiki hiki kiwanda!! Vipi wamekosa kazi za kufanya hawa wasanii?
  3. Barack Obama jr

    Ushirikiano mpya wa upinzani kuzaliwa DeFront

    Atosha kwenda wapi?
  4. Barack Obama jr

    Zitto: Kigogo kutoka CCM ambae aliwahi kushika nafasi nyeti serikalini, kukabidhiwa kadi namba 2 ya uanachama wa ACT Wazalendo

    Kuendelea kushangilia kupokea makapi ya ccm ni kuendelea kushangilia anguko la upinzani Tanzania.
  5. Barack Obama jr

    Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

    Uganda piga hao Wadanganyika goli 3 - 1 waende wakalewe walevi wakubwa hawa.
  6. Barack Obama jr

    Al Shabaab wavamia jengo la Serikali na kuua takribani 11 akiwemo Naibu Waziri

    Kwahiyo waliokufa hapo Somalia ni mbwa tu siyo binadamu wa kiislamu?
  7. Barack Obama jr

    Al Shabaab wavamia jengo la Serikali na kuua takribani 11 akiwemo Naibu Waziri

    Watu wa dini ya mnyaaaazi mungu hata hawajui wanachokiamini.
  8. Barack Obama jr

    Al Shabaab wavamia jengo la Serikali na kuua takribani 11 akiwemo Naibu Waziri

    Kwahiyo kulaani au kutokulaani kwake kunaondoaje uhalali wa hoja yake?
  9. Barack Obama jr

    Al Shabaab wavamia jengo la Serikali na kuua takribani 11 akiwemo Naibu Waziri

    Huwezi kumsikia maana wanauana kila siku huko mashariki ya kati na hapo Somalia lakini wako kimya kama hawajui.
  10. Barack Obama jr

    Chumba cha uwanja wa ndege terminal 3 cha waka moto

    Hayatuhusu hayo tuko kupambana na akina Mbowe, Lissu, Matiko, Zitto, Maalim n.k maana hawa ndio kipaumbele chetu
  11. Barack Obama jr

    Simiyu agenda: Bima kwa kila mwananchi, Mbeya agenda: Kumtoa sugu madarakani

    Tatizo kubwa hawa viongozi wanafanya mambo kwa kumfurahisha aliye wateua. Magufuli anapenda sana kuonea wapinzani, sasa akisikia mkuu wa mkoa fulani anapambana kumtoa mbunge wa upinzani anafurahia sana. Wanayafanya haya kwa kulinda nafasi zao.
  12. Barack Obama jr

    Maandamano yalikuwa ni mishipa ya damu katika mwili wa CHADEMA

    Mikutano ya vyama vya siasa ndio hujenga vyama. Naona umegeuza makusudi badala ya kutaja mikutano ya hadhara ndio hujenga chama wewe unaleta ulofa wa kiboya kwamba ni maandano.
  13. Barack Obama jr

    Bashe, Nape, Mwigulu na Ole milya anzeni kujikomba la sivyo Ubunge 2020 ndo basi

    Pareso yupi mkuu? Au ulikusudia Paulina Gekul?
  14. Barack Obama jr

    Act - Wazalendo Zanzibar wanaamini muundo upi bora wa Muungano?

    Wakati Cuf Zanzibar ikiwa imeshika siasa za Zanzibar suala la Muungano ndio lilikuwa agenda yao kuu katika kudai haki ya Wazanzibar. Cuf Zanzibar ilikuwa inaamini Zanzibar bado inatawaliwa kwa mabavu na Tanganyika, hivyo Cuf Zanzibar ilikuwa na agenda kubwa ya kudai mamlaka kamili ya Zanzibar...
Back
Top Bottom