Simiyu agenda: Bima kwa kila mwananchi, Mbeya agenda: Kumtoa sugu madarakani

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,498
3,465
Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mkuu wa Mkoa Wa Simiyu Anthony Mtaka akiwa halali usingizi ili wananchi wa Simiyu kila mmoja awe na Bima huko Mbeya mkuu wa mkoa halali anahangaika kumtoa Sugu madarakani.

Mbeya bado kuna matatizo makubwa ya Elimu bora, Afya, Kilimo, ajira nk. Kufanya Sugu kuwa ni tatizo na kuacha matatizo ya msingi ya wana Mbeya ni jambo la kustaajabisha.

Wenzetu wanafikiriaje?

Wakati nasoma habari hii kuna mtu ameniambia huko Botswana wanafunzi wote wa madarasa ya awali na darasa la kwanza kuanzia tarehe moja mwezi ujao Serikali itatoa chai na vitafunwa bure kabisa kwa watoto wote nchi nzina. Vitafunwa watakavyotoa ni pamoja na Mkate, Maziwa, Mayai, Uji na upande wa matunda ni machungwa na tofaa(Apple). Hawa wajamaa wanakimbia haswa Elimu yao unaipata Bure kweli kweli kwa miaka 10 na mayai juu kuimarisha Afya ya mwili na akili.

Wenzetu wanalala wakifikiria mambo ya maana kabisa kama haya, kiongozi msomi tena kijana mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye ni Dr (PhD) Rais alimuamini kuwa huyu naye anaweza kufikiri tuifanyeje Mbeya iwe juu mkoa wenye Fursa kibao kama hali ya hewa nzuri, vivutio vingi tu, Upo mpakani mwa majirani zetu kusini nk. Badala ya kuwaza anabadilishaje hizi fursa kuwa fedha, kuwa ajira yeye anawaza kumwondoa Sugu Madarakani.

Hii mentality ya viongozi kama hawa haitatufikisha kabisa tunakokwenda. Mikoa kama hii ilipaswa vipelekwe vichwa vinavyofikiria haswa, vijana wabunifu.

Hizo kazi anazofanya mkuu wa mkoa kwa sasa Awaachie kina polepole, kuna mambo makubwa ya msingi ya kufanya na kuacha legacy kuliko huu utumbo.

Hii Mbeya hakuna matatizo mengine ukiachana na Sugu?
 
inawezekana mkuu wa mkoa wa Mbeya amekewa malengo na bosi wake wakati wanajaza OPRAS (kama hua wanajaza :p) kua atamng'oa Sugu ifikapo 2020!
lakini kauli ya yule 'RC' inadhihirisha kuwa kichwa chake sehemu kubwa ni taya na mashavu kwa ajili ya kula na ubongo umeachiwa nafasi kidogo sana.
 
kanda ya ziwa kuna methali inasema ' ekigara nkurubhubha'.
 
Mh.Mtaka ni kiongozi. Angekuwa top taifa letu lingepaa kwa uchumi , umoja na ustawi. Pasingekuwa na kuminywa democrasia,Bensaa8,Mo,Lissu na wengine wasingepata masibu.Kubwa zaidi tungepata Katiba bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mkuu wa Mkoa Wa Simiyu Anthony Mtaka akiwa halali usingizi ili wananchi wa Simiyu kila mmoja awe na Bima huko Mbeya mkuu wa mkoa halali anahangaika kumtoa Sugu madarakani.

Mbeya bado kuna matatizo makubwa ya Elimu bora, Afya, Kilimo, ajira nk. Kufanya Sugu kuwa ni tatizo na kuacha matatizo ya msingi ya wana Mbeya ni jambo la kustaajabisha.

Wenzetu wanafikiriaje?

Wakati nasoma habari hii kuna mtu ameniambia huko Botswana wanafunzi wote wa madarasa ya awali na darasa la kwanza kuanzia tarehe moja mwezi ujao Serikali itatoa chai na vitafunwa bure kabisa kwa watoto wote nchi nzina. Vitafunwa watakavyotoa ni pamoja na Mkate, Maziwa, Mayai, Uji na upande wa matunda ni machungwa na tofaa(Apple). Hawa wajamaa wanakimbia haswa Elimu yao unaipata Bure kweli kweli kwa miaka 10 na mayai juu kuimarisha Afya ya mwili na akili.

Wenzetu wanalala wakifikiria mambo ya maana kabisa kama haya, kiongozi msomi tena kijana mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye ni Dr (PhD) Rais alimuamini kuwa huyu naye anaweza kufikiri tuifanyeje Mbeya iwe juu mkoa wenye Fursa kibao kama hali ya hewa nzuri, vivutio vingi tu, Upo mpakani mwa majirani zetu kusini nk. Badala ya kuwaza anabadilishaje hizi fursa kuwa fedha, kuwa ajira yeye anawaza kumwondoa Sugu Madarakani.

Hii mentality ya viongozi kama hawa haitatufikisha kabisa tunakokwenda. Mikoa kama hii ilipaswa vipelekwe vichwa vinavyofikiria haswa, vijana wabunifu.

Hizo kazi anazofanya mkuu wa mkoa kwa sasa Awaachie kina polepole, kuna mambo makubwa ya msingi ya kufanya na kuacha legacy kuliko huu utumbo.

Hii Mbeya hakuna matatizo mengine ukiachana na Sugu?[/QUOTE
Unajua idadi ya wananchi wa Botswana lakini?ingawa ni vizuri nasi tungekuwa tunafikiria Mambo mazuri Kama ya Botswana
 
Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mkuu wa Mkoa Wa Simiyu Anthony Mtaka akiwa halali usingizi ili wananchi wa Simiyu kila mmoja awe na Bima huko Mbeya mkuu wa mkoa halali anahangaika kumtoa Sugu madarakani.

Mbeya bado kuna matatizo makubwa ya Elimu bora, Afya, Kilimo, ajira nk. Kufanya Sugu kuwa ni tatizo na kuacha matatizo ya msingi ya wana Mbeya ni jambo la kustaajabisha.

Wenzetu wanafikiriaje?

Wakati nasoma habari hii kuna mtu ameniambia huko Botswana wanafunzi wote wa madarasa ya awali na darasa la kwanza kuanzia tarehe moja mwezi ujao Serikali itatoa chai na vitafunwa bure kabisa kwa watoto wote nchi nzina. Vitafunwa watakavyotoa ni pamoja na Mkate, Maziwa, Mayai, Uji na upande wa matunda ni machungwa na tofaa(Apple). Hawa wajamaa wanakimbia haswa Elimu yao unaipata Bure kweli kweli kwa miaka 10 na mayai juu kuimarisha Afya ya mwili na akili.

Wenzetu wanalala wakifikiria mambo ya maana kabisa kama haya, kiongozi msomi tena kijana mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye ni Dr (PhD) Rais alimuamini kuwa huyu naye anaweza kufikiri tuifanyeje Mbeya iwe juu mkoa wenye Fursa kibao kama hali ya hewa nzuri, vivutio vingi tu, Upo mpakani mwa majirani zetu kusini nk. Badala ya kuwaza anabadilishaje hizi fursa kuwa fedha, kuwa ajira yeye anawaza kumwondoa Sugu Madarakani.

Hii mentality ya viongozi kama hawa haitatufikisha kabisa tunakokwenda. Mikoa kama hii ilipaswa vipelekwe vichwa vinavyofikiria haswa, vijana wabunifu.

Hizo kazi anazofanya mkuu wa mkoa kwa sasa Awaachie kina polepole, kuna mambo makubwa ya msingi ya kufanya na kuacha legacy kuliko huu utumbo.

Hii Mbeya hakuna matatizo mengine ukiachana na Sugu?
Bongo ajenda yetu kuutokomeza upinzani hata ikibidi kwa risasi. Huyo mkuu wa Siniyu is a blessed exception which is acceptably rare ukizingatia anaenda kinyume na strategy ya aliyemteua. Hata hivyo kuna wapinzani wabishi kuzidi kambale hawafi kirahisi ila watapatwa tu kama mshika taifa hatashushiwa punda wa kumuuliza, "mbona wanipiga mara tatu zote hizi?" Au asipopata ufahamu wa kusoma maandishi ukutani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khs Botswana,
Imetumika na Mleta mada, ili kufikisha ujumbe wake.

Viongozi wanavyopaswa kufikiria ktk utekelezaji wa majukumu yao.
RC Simiyu ni mfano mzr pia.
 
Tena ni aibu kuhangaika eti kumtoa sugu kwenye ubunge wake .kama mtatumia njia haramu lakini kwa mapenzi ya mungu hakika sugu ni chaguo sahihi. Kutoka kwa wananchi was mbea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mkuu wa Mkoa Wa Simiyu Anthony Mtaka akiwa halali usingizi ili wananchi wa Simiyu kila mmoja awe na Bima huko Mbeya mkuu wa mkoa halali anahangaika kumtoa Sugu madarakani.

Mbeya bado kuna matatizo makubwa ya Elimu bora, Afya, Kilimo, ajira nk. Kufanya Sugu kuwa ni tatizo na kuacha matatizo ya msingi ya wana Mbeya ni jambo la kustaajabisha.

Wenzetu wanafikiriaje?

Wakati nasoma habari hii kuna mtu ameniambia huko Botswana wanafunzi wote wa madarasa ya awali na darasa la kwanza kuanzia tarehe moja mwezi ujao Serikali itatoa chai na vitafunwa bure kabisa kwa watoto wote nchi nzina. Vitafunwa watakavyotoa ni pamoja na Mkate, Maziwa, Mayai, Uji na upande wa matunda ni machungwa na tofaa(Apple). Hawa wajamaa wanakimbia haswa Elimu yao unaipata Bure kweli kweli kwa miaka 10 na mayai juu kuimarisha Afya ya mwili na akili.

Wenzetu wanalala wakifikiria mambo ya maana kabisa kama haya, kiongozi msomi tena kijana mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye ni Dr (PhD) Rais alimuamini kuwa huyu naye anaweza kufikiri tuifanyeje Mbeya iwe juu mkoa wenye Fursa kibao kama hali ya hewa nzuri, vivutio vingi tu, Upo mpakani mwa majirani zetu kusini nk. Badala ya kuwaza anabadilishaje hizi fursa kuwa fedha, kuwa ajira yeye anawaza kumwondoa Sugu Madarakani.

Hii mentality ya viongozi kama hawa haitatufikisha kabisa tunakokwenda. Mikoa kama hii ilipaswa vipelekwe vichwa vinavyofikiria haswa, vijana wabunifu.

Hizo kazi anazofanya mkuu wa mkoa kwa sasa Awaachie kina polepole, kuna mambo makubwa ya msingi ya kufanya na kuacha legacy kuliko huu utumbo.

Hii Mbeya hakuna matatizo mengine ukiachana na Sugu?
Hii ndio tofauti kati ya Akili na Matope.
 
Tatizo kubwa hawa viongozi wanafanya mambo kwa kumfurahisha aliye wateua.

Magufuli anapenda sana kuonea wapinzani, sasa akisikia mkuu wa mkoa fulani anapambana kumtoa mbunge wa upinzani anafurahia sana.

Wanayafanya haya kwa kulinda nafasi zao.
Ni aibu sana kwa Rais wa nchi kushabikia kuuwa demokrasia
 
Back
Top Bottom