Recent content by Barabara ya Vumbi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

    Kuna wahindi India walikuwa wana mClouds FM Ben Saanane na Nape kwa pamoja
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!

    Alikata ZZK azitaje sio Lema sioni mantiki
  4. B

    JamiiForums Tanzania Shonza amwomba radhi Rais Kikwete, asema alikuwa anatumiwa na CHADEMA kumtukana

    sasa kama wanafukuzwa CDM wafanyeje poa kabisa watimkie huko hamna hasara kwanza huko mafisadi ndio home,wanafki ndio sebuleni kwao sasa mlitaka waende CHAUSTA??
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!

    sasa unakoelekea kama Zitto hatakuwa baba wa watoto wako sijui ,wewe na Zitto daily kazi ipo,haya ngoja kina MWARANYA sijui na kina aweda ,saanane waje kukujibu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa CHADEMA kushindwa kumfukuza Zitto Zuberi Kabwe

    wewe umewajua leo mkuu si umesema umefanya nao kazi toka kitambo au na wewe mtambo ule ule???husomeki
  7. B

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa CHADEMA kushindwa kumfukuza Zitto Zuberi Kabwe

    Sina hakika na maneno yako ni kama na wewe umetumwa na kundi flani sasa Zitto mbona hakuchukuliwa hata hiyo hatua ya awali au yeye yu juu ya katiba,halafu hawa vijana wa CDM wameshanichosha ngoja niende zangu Jukwaa la Wakubwa naona leo kumechangamka sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa CHADEMA kushindwa kumfukuza Zitto Zuberi Kabwe

    Kumbe haya madudu yote yake sasa wanasemaje hao malimbukeni wa BAVICHA kuhusu haya??
  9. B

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa CHADEMA kushindwa kumfukuza Zitto Zuberi Kabwe

    Hii thread bado ipo kweli MODS wamekuwa wastaarabu,hahaha Ila CDM lazima mjichunguze hali yenu inakatisha tamaa Kajamaa kamoja ndio kanawatikisa,halafu wajibu hoja wapuuzi sana hawana point zenye mashiko ni AUBU sana kutegemea vijana kama hawa kuongoza taifa,mtangoja sana aisee bora CHAUSTA
  10. B

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa CHADEMA kushindwa kumfukuza Zitto Zuberi Kabwe

    UVCCM ni kundi la kina dada na kina mama ambao wameachika na vijana wauza unga kama yule aliyekuwa anyongwe Uchina na wengine wanaouza ule mtandao wa nusu shilingi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtizamo: Hii ndo safu mpya ya BAVICHA itakayowavuta vijana

    Una maneno kama Radio Clouds we kweli mwezi mchanga ndio maana unaitwa saa nane yaani baada ya saa nane unalipuka hahahaa,mimi sio masalia wewe na siko kwenye level zenu usijaribu kunilinganisha na kundi la watoto wenzio
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mgambo wamzimisha raia ndani ya kituo cha polisi

    Ssa sisi tufanyeje hapa Police au Hospitali??
  13. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

    Mbona hii ya siku nyingi mlikuwa mnasubiria taarifa za kiitelijensia ndio muilete hapa au??
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mtizamo: Hii ndo safu mpya ya BAVICHA itakayowavuta vijana

    Umeajiriwa JF nini yaani kila thread inayokuhusu lazima ujibu huna kazi??hakuna masalia wengine wa kufuatilia??
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito

    Hili mbona linajulikana ,liko wazi mtu mpaka ufikie kuwa na mimba kama hujui hili we chizi na hiyo mimba sio yako
Back
Top Bottom