Recent content by Bapalidako

  1. B

    JamiiForums Tanzania Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025

    Msuva bado anaitaji siyo samata
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Unashanga mtu hana kazi wala biashara lakini anaombewa apate utajiri badala ya kupewa Mtaji, wakati yeye muombeaji anapewa sadaka pesa
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukipika kuku nyumbani, mimi nalishwa vipapatio, vitoto vyangu vya umri wa miaka 5 na 8 ndio vinalishwa mapaja. Je, hii ni sahihi wakuu?

    Nikiwa na mwanangu toka alipoanza kujua kula mpaka leo ana miaka 17 mimi namuachiaga ale mapaja ya kuku tena Yale yanaitwa robo kuku
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Mke wangu alikuwa hajisikii vizuri, ikabidi nimpeleke hospital alipopimwa akakutwa presha Iko juu Sana, kumbe aliacha kunywa dawa baada ya kuombewa na Mwamposa, Doctar kamwambia utakuja kupooza ukiacha dawa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Iko hivi unamuomba Mungu akuponye huku unakunywa dawa, Siyo unamuomba Mungu akuponye halafu unaacha kutumia dawa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Yaani watalamu wamekaa maabara kwa miaka kupata dawa ya kutibu maradhi halafu mtu anakuaminisha unapona kwa kuombewa kwa dakika moja tu, haiingii akilini
  7. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angevuna pesa nyingi sana toka kwa Rais Samia

    Tundu Lissu ni Simba wakati Msigwa ni fisi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina nani wanateka watu, nani yuko nyuma yao?

    Halafu unashanga watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii wamekaa kimya hakuna anayeguswa na yanayoendelea inchini wanazani kama wao na famiria zao watabaki salama
  10. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

    hivi najiuliza kwa nini waitwe wahamiaji halamu? Kwani huko kwao hawawezi kutengeneze vibari vya kusafiria wakasafiri kwa amani? Na kwa nini iwe watu Somalia,Eritria na Ethiopia,na wanasafiri kwa nauli kubwa, Imegina watu wanakodi Landcruse V8
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina nani wanateka watu, nani yuko nyuma yao?

    kuna wimbi la watu kutekwa kalibu kila siku, lakini vyomba vya ulinzi na usalama ambavyo ni jeshi la polisi pamoja na selikali wako kimya, sijui sababu wahanga si wanachama wa CCM, na wote wanaotekwa ni wale wanaopingana na selikali kwa namna moja au nyingine, mfano yule kijana aliyechoma picha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa Nyumba za Watu Kurasini aanza kutiliwa Mashaka, Hofu ya Utapeli yatanda

    Ninavyojujua mimi mnunuzi anatathimini thamani ya nyumba kwanza and then mnasubiria kulipwa,huu ndiyo utaratibu waliofanyiwa wale wa upande wa pili palipobomolewa pale
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa Nyumba za Watu Kurasini aanza kutiliwa Mashaka, Hofu ya Utapeli yatanda

    K Kwani wanalazimishwa kuziuza? Na kwa nini wasibomoe baada ya kulipwa,mengine ni ujinga na tamaa ya hera
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tazama katika picha hii Namna wanajeshi wetu walivyofurahi na kutabasamu baada ya kuonana na Rais Samia

    Ila wewe jamaa ipo siku tutakuja kutana wawili tu, hata uchochoroni,lazima nikuazibu akili yako ikae sawa, nitakupa viboko vya mgongoni tu mpaka uchawa ukutoke
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

    Sasa sijui unataka nionyeshe hera ya aina gani? Maana siyo hera zote zinaringana,ingawa nakupa pole kwa ushamba wako,maana kuna hera zingine ni sawa na Madafu
Back
Top Bottom