Recent content by baolamkono

  1. baolamkono

    JamiiForums Tanzania kwa wajasiriamali wenzetu

    Ni wazo zuri fuku ila kuwa makini maana biashara nyingi zinahamishika na nyumba yako ipo tu...so make sure atakaejitokeza anaeleweka maana utakuja kuuziwa nyumba ukiwa unaangalia. ..nina uzoefu kwenye hili. ..be careful
  2. baolamkono

    JamiiForums Tanzania 'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    Tshert za ccm kwenye gari serikali?
  3. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    I think kwa watu waungwana sio vyema kuendelea kujadili afya ya Lowasa maana hata Deo hakuwa mgonjwa sasa hivi yuko wapi? Anaejua kesho yako ni Mungu tu acheni kukashifu status za afya za watu...hakuna anaependa kuugua. ..
  4. baolamkono

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    RIP Kamanda
  5. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    CCM na UKAWA nani wanahangaika? Rais EL kila akija na hili mnazingua anatoka na jingine mara mzime umeme, mara oooh ICC ya nini? Mara msitumie jangwani, mara matusi, mara UKAWA wanaedit pictures, mara...xxxxxxxxxx tulieniiiiiiii ....mtatoa mbegu mwaka huuuu😂😂😂😂
  6. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Sikatai msanii kushabikia chama anachokitaka ni haki yake but kujihusisha na makundi ndani ya vyama yenye mirengo ya kikanda, na kikabila anachemka sio siri.Anaweza kununuliwa kwa kuwa ana followers wengi but what next baada ya uchaguzi? UKAWA wakichukua atakuwa amejiweka kwenye mazingira gani...
  7. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Hivi kama sio kutokufikiri unategemea kwenda kaskazini kufanya show au unadhani mwisho wa mziki wako ni October? What if UKAWA wakishinda utakimbilia wapi Ndorrrrrrrrrrrobo wewe...think BIG. Kashule nako kanasaidia
  8. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Na Pinda tunamkaribisha. ..akija endeleeni kusema hawana impact ila tukutane October
  9. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Na uzuri wote wasio na pa kulala this time wamejiandikisha
  10. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Hawakawii kusema wamepewa hela😂😂
  11. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji amekatwa kura za maoni za udiwani kupitia CCM

    Mbona nape hajajikata? Ila mtama watamnyoosha. ..
  12. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Hahaaa zee ra takwimu ritatooka tu na renyewe...af jamaa Anatia huruma balaa ubunge hamna, uwaziri hamna, na uprezdaaa ndio huo umeyoyoma... Labda tuanzishe kitengo cha kuhesabu samaki😃😃
  13. baolamkono

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Kwani mh prezdaaa anatua saa ngapi😂😂😂
Back
Top Bottom