Recent content by bantulile

  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

    Kama wanashindwa kuheshimu sheria walizotunga wenyewe kwa kodi za wananchi na kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba na hawailinda na wanaomba kuongezewa mitano tena ya kufanya nini?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 6.7 zatengwa kufadhili Wanafunzi 640 kwa 100%, ambaye hatafikisha GPA 3.8 ufadhili unasitishwa

    Ni busara wangeanzia chini sekondari kuliko na watu zaidi hao waliofaulu form six si masikini ni matajiri. Nani atafaulu masomo bila tuition tena kwa mada moja moja
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 6.7 zatengwa kufadhili Wanafunzi 640 kwa 100%, ambaye hatafikisha GPA 3.8 ufadhili unasitishwa

    Kila siku kununua vitu kipya badala kuendeleza vilivyopo kwa nia kutafuta sifa binafsi ya mtu. Kuona shule za kata zinazosaidia watu wengi zaidi hazina waalimu wala vifaa vya kufundishia. Shule hazina chakula. Mnataka misaada ya kibaguzi. Kuwabagua watoto kwa misingi ya akili ni dhambi. Watoto...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki bastola, nipeni muongozo nawezaje kufanikisha hili

    You are not serious. Panya Road wakijua una silaha peke ni ulinzi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

    Siyo fani yake. Eee nyingi hakuna point ya kiuchumi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mkapa awapa neno wanaotaka Magufuli aongoze mihula mitatu

    Trump mwemyewe fisadi wa uchaguzi. Anasaidiwa kuiba kura na Putin
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkapa awapa neno wanaotaka Magufuli aongoze mihula mitatu

    Katika siasa safi na uongozi bora Tanzania, usipomsikiliza Mzee Mkapa utamsikiliza nani?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri halali: Dhana isiyo na ukweli

    Tena Lazaro alikutana naye mbinguni.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri halali: Dhana isiyo na ukweli

    Kwa hiyo kwenye umasikini kuna utu wema, roho nzuri, huruma? Uvivu je?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo si kukosa sheria, Tatizo letu ni udhaifu na kukosekana uwajibikaji kusimamia sheria na kanuni!

    Wakaguzi ( regulatory authorities ) zipo lakini hazina budget. Zitafanyaje kazi? Sheria hata kama zingekuwa nzuri kiadi gani lakini si kipaumbele haziwezi kufanya kazi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Spika Nancy Pelosi achana nakala yake ya hotuba ya Rais Trump Bungeni

    What is single sex marriage
  12. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Hongera hasa Cecil Mwambe na. Mwakagenda kwa uthubutu wenu. Hao wengine walitabirike wangeshinda ilikuwa ni ujasiri wa hali ya juu kukabiliana nao
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ajitoa kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA, amuachia Lissu

    Nadhani unazungumzia karne ya 19, siku kuna video conference, kuna Skype mnahojiana kwa mtandao. Sijui kama Katiba inasema lazima mhojiane mubashara
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

    Huyu jama hapo kuangalia uhalisia isipokuwa ana haja ya kuonesha jinsi alivyo na hela na jinsi avyojua kuzitafuta. Lakini tabia ya wenye hela asili hawatumii zaidi isivyokuwa lazima. Watafuta zaidi na kutumia kidogo kuliko walichopata. Ndiyo kanuni ya pesa Hawa kujitapa tapa hawa ndiyl malofa mwisho
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashtushwa na Fredrick Sumaye kutumia nembo ya Taifa kuitisha mkutano wake na Wanahabari

    Kuwa Waziri Mkuu mstaafu ndiyo kigezo cha kutumia nembo ya Taifa kwa maswala binafsi?
Back
Top Bottom