Recent content by Bantu Mhagama

  1. B

    James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na tukio la Lissu kupigwa risasi...

    Mwandiko jamaa...hali hii herufi zote umepewa kwenye keyboard na sijaambulia ulitaka kutueleza nn.Je,ukipewa kalamu uumbe herufi mwenyewe itakuwaje?
  2. B

    Muhimu Sana: Polisi wakikosea kidogo, isitufanye tukasahau mazuri na mema yote wanayoyatenda

    Usalama wetu upo hatarini kuliko wakati wowote then kirahisi tu unasema eti polisi wakikosea kidogo tusisahau mazuri yao...Yepi hayo?
  3. B

    Hawa ndio wanaokula mema ya Rais Magufuli

    Wala mema awamu ya tano. 1.Madiwani wa upinzan wanaohama.
  4. B

    Kada wa CHADEMA Siha mahututi kwa kipigo cha Jeshi la Polisi

    Bado kuna watu wana imani Ngosha.
  5. B

    Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    Israel ni nchi ndogo zaidi kuliko Rwanda na influence kubwa zaidi katika siasa za nchi ya Marekani ambayo ni powerful duniani.....sembuse Rwanda kwa Tanzania ambao hata frança yao ina thamani dhidi ya tz shilling.
  6. B

    Mbioni kuanzisha website yenye kuelezea juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Magufuli

    Ndio maana wazungu mpaka leo wametuficha kutofautisha maana ya SCHOOLING & EDUCATION. Baada ya kufungua tovuti ya kujenga hoja na kushauri serikali na wananchi kushirikishana kwa pa1 namna gani ya kuondoa umaskini na kuzidadavua sekta mama ya iliyoajiri watu(kilimo) iwe na tija katika kukuza...
  7. B

    Je ni zawadi gani Rais atawapa wana Dsm kabla ya 2018

    Dar kuihamishia DODOMA.
  8. B

    Uongo gani wa mwanasiasa uliovunja rekodi kwa mwaka 2017?

    Tumenunua mtambo maalum wa kubaini nyumba zza wazungu wa Unga-- PM
  9. B

    Kwa CCM hii ya Rais Dk. Magufuli, ni nani atabaki Upinzani?

    Sema ACT wazalendo & CUF ya Lipumba watabaki wangapi??? Point of correction
  10. B

    Tetesi: Mme amini wakuu wamikoa wote mkuu ana wapenda....

    Tumia kiswahili hii lugha uliyotumia kuandika hatuifahamu na bila shaka. imekuja na meli.
  11. B

    Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

    Ukifananisha na bei ya Kenya haitakuwa ina-make ssense wakati tunayo bei elekezi iliyotolewa miaka miwili iliyopita ambayo 1800/= Tsh kupitia kinywa ccha rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania JPM....Je,bei elekezi ilitekelezeka ndio swali la msingi kwa serikali iliyopo madarakani ya awamu yya...
  12. B

    Tusingempata Magufuli Taifa lilikuwa linazama na kupotea!

    Unaongelea taifa gani?....Labda Taifa stars.
  13. B

    Kusema maendeleo yasipelekwe sehemu fulani kwa sababu Rais,Waziri Mkuu anatokea huko ni upuuzi mkubwa

    mwenye akili hawezi hata kidogo kupinga maendeleo yakienda Chato na Ruangwa.Ila ili kudhihilisha mwenye akili anatumia akili lazima ahoji Utaratibu wa matumizi ya pesa za walipa kodi na mipango ya kibajeti ya serikali...Leo,inajengwa Referral Hospital Chato wakati tunajua makao makuu ya mkoa...
  14. B

    Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

    CCM kama mpinzani mkuu wa CDM kwa isiwe furaha kwenu kupoteza mwelekeo kwa mbowe kuliko kumtaka ajiuzuru?
Back
Top Bottom