Kusema maendeleo yasipelekwe sehemu fulani kwa sababu Rais,Waziri Mkuu anatokea huko ni upuuzi mkubwa

Zanika

Zanika

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,058
Likes
584
Points
280
Zanika

Zanika

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,058 584 280
Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.

Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.

Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.

Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.

Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.

Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.

Kutoka Mwanza hadi Bukona ni km 446
Kutoka Bukoba hadi Chato ni km 220
Geita hadi chato ni km 118

Na Moshi hadi Arusha ni km 119

Sasa miji ya Moshi na Arusha yote ina Airport ndogo halafu ikajengwa International Airport kubwa mpakani mwa miji hiyo mitatu yaArusha,Manyara na Moshi, na watu wa Manyara hawalalamiki kukosa Airport ingawa eneo lao lina activities za migodi,Utalii,Kilimo na Ufugaji.

Je sio Bisara kwa Serikali kutafuta eneo ambalo ni rahisi kifikika kutokea pande zote tajwa hapo juu na kujenga International Airport ili watu wa zone hiyo ya Kaskazini Magharibi(Nyanza) wote wafikie huduma km ilivyo Kule Kaskazini KIA?

Tujiulize faida itakayopatikana kwa uwekezaji huu si inaenda Serikalini na kupanua wigo wa upatikanaji wa fedha za Maendeleo tunazopewa kwenye Mikoa yetu kupitia idara mbalimbali?

Sambamba na hili Mbeya uwanja unaboreshwa na kuwa wa hadhi ya Kimataifa, mbona hatusikii kelele zikipigwa kuwa labda wanapendelewa?

Mtu atakuja na hoja kwamba kwanini Mwanza Airport isiboreshwe,lkn wengi wetu tuliofika pale tunajuajinsi palivyo padogo na changamoto zinazoikabili uwanja ule Mvua kubwa ikinyesha

Namaliza kwa kusema tusirubuniwe kwa kupotoshwa na wasiopenda maendele ya Taifa letu bali tupendane tuvumiliane pale unapoona mkate fulani umepelekwa kwa jirani yako.

Kikubwa ni nchi yetu sote km unaona sehemu fulani fursa zinaibukia huko jipange uwahi ukakamate hizo fursa, na hii ndio raha ya uhuru tulionaousiobagua Kabila au Ukanda.

Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
 
K

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Messages
269
Likes
107
Points
60
K

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2015
269 107 60
Wakati mbiu ilipopigwa kwa nini hamkuenda shule?
Je wakati wa usaili tuanze kuangalia tuajiri kwa uwiano gani? Wakati mwingine swala la ukabila ni nosense
 
C

chabusalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
6,585
Likes
3,890
Points
280
C

chabusalu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2016
6,585 3,890 280
Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.

Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.

Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.

Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.

Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa. Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zike ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.

Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Inawezekana ni umbumbumbu wa kutoelewa hoja, au ni uchumia tumbo tu. Kinachopingwa sio kupelekwa maendeleo sehemu fulani, bali ni taratibu na vipaumbele kuzingatia mipango ya serikali. Wakati mwingine muwe mnajitahidi ili posho isipunguzwe!
 
Zanika

Zanika

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,058
Likes
584
Points
280
Zanika

Zanika

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,058 584 280
Wakati mbiu ilipopigwa kwa nini hamkuenda shule?
Je wakati wa usaili tuanze kuangalia tuajiri kwa uwiano gani? Wakati mwingine swala la ukabila ni nosense
Ndio ujue kuwa na wao wamesoma sasa
 
T

The Elephant

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
3,128
Likes
1,814
Points
280
T

The Elephant

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
3,128 1,814 280
MWambieni asisahau na miji ya karibu kama Geita, katoro na mengine siyo mnashangilia tu
 
B

Bantu Mhagama

Senior Member
Joined
Feb 15, 2017
Messages
104
Likes
126
Points
60
B

Bantu Mhagama

Senior Member
Joined Feb 15, 2017
104 126 60
mwenye akili hawezi hata kidogo kupinga maendeleo yakienda Chato na Ruangwa.Ila ili kudhihilisha mwenye akili anatumia akili lazima ahoji Utaratibu wa matumizi ya pesa za walipa kodi na mipango ya kibajeti ya serikali...Leo,inajengwa Referral Hospital Chato wakati tunajua makao makuu ya mkoa yapo Geita,mwenye akili lazima ahoje vigezo na tathmini zilizotumika kufanyika mradi mkubwa peripheral area like Chato.
 
B

bne

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
1,506
Likes
1,498
Points
280
B

bne

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
1,506 1,498 280
Tatizo mtoa mada kuna kitu ambacho hujakijua.
Ni kweli kuwa kuna kipindi kaskazini ilipendelewa lkn angalia kaskazini ya upana gani?
Ulikua unaona maendeleo yanaenda Marangu, Mara Same, Mara Hai, Mwanga, nk
Sasa huyu wetu tunajiuliza Why CHATO?
Geita ni kubwa, au kanda ya ziwa ni kubwa lkn kwann chato?
_ Traffic light
_TRA
_airport
 
Hijja Madava

Hijja Madava

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Messages
2,679
Likes
459
Points
180
Hijja Madava

Hijja Madava

JF-Expert Member
Joined May 14, 2014
2,679 459 180
hakuna mkaskazini sample yako we mpare wa Itigi umeandika kwaihemko sana bila kutofautisha Mfalme anaetumia Kofi za nchi kujenga kwao na watu wenye uchu wa maendeleo waloendeleza kwao Hebu twambie serikali imejenga mini Moshi
 
areafiftyone

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
4,497
Likes
2,687
Points
280
areafiftyone

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
4,497 2,687 280
Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.

Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.

Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.

Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.

Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.

Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.

Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Mkuu kupeleka maendeleo popote sio kosa,ni sawa kabisa.Kinachogomba ni rationality.Ukifanya jambo lolote make sure it's rational,otherwise utapata criticism,na usishangae.
 
T

Tumbo Tambarare

Senior Member
Joined
May 10, 2017
Messages
187
Likes
136
Points
60
T

Tumbo Tambarare

Senior Member
Joined May 10, 2017
187 136 60
Kwani tatizo ni nini iwapo Maendeleo yataelekezwa Kusini na Ziwa? Kwani huko siyo Tanzania? Kanda ya Kaskazini nayo ipumzike kidogo bhana. Kuanzia miaka ya 70 wamepata huduma za jamii hasa umeme, maji na barabara za lami hadi migombani. Sasa mradi ukipelekwa tu mahali utasikia mara uwanja wa Chato hauna tija mara mradi huu unapelekwa kwa kiongozi flani. Jamani acheni na wengine wapate barabara za lami..wa Kaskaz mvumilie kidogo..
 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,577
Likes
4,757
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,577 4,757 280
Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.

Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.

Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.

Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.

Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.

Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.

Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Mkuu hatuna chama chochote kizuri cha upinzani kwani badala ya kuzungumzia Masuala muhimu kama Uchumi wameanza kuzungumzia masuala ya ukanda na Ukabila. Je kwa Serikali kujenga uwanja wa ndege Chato ni kosa? Mikoa ya Kaskazini kwenye uchimbaji wa madini wa Tanzanite wamepewa uhuru mkubwa kwa wachimbaji wadogo wakati kanda ya Ziwa migodi yote imepewa wawekezaji. Hilo limeiinua mikoa hiyo kiuchumi zaidi
 
K

kiker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
1,024
Likes
409
Points
180
K

kiker

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
1,024 409 180
Hili jamaa duh...kama jpm angepeleka hata kiwanda cha kusindika nyama au kile cha kuchakatua makinikia..hakuna mtu hata moja angelalamika hapa...tatizo hicho kiwanja cha ndege ni cha nini na ni kwa manufaa ya nani?tuwe wakweli sio tuendelea kumjaza huyu mtu misifa na ujinga!
 
K

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
1,859
Likes
851
Points
280
K

kwenda21

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
1,859 851 280
Siyo tatizo ila taratibu Zifuatwe, maana yote ni tanzania hii
 
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
6,125
Likes
692
Points
280
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
6,125 692 280
Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.

Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.

Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.

Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.

Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.

Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.

Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Wewe ndiyo unajaribu kupandikiza chuki. Serikali inapaswa kutekeleza mipango iliyopitishwa na kupatiwa fedha na Bunge. Ikiwa inafanyika kinyume na hapo ni kasoro ambazo lazima zisemwe. Haya mambo ya ukasikazini ni porojo za kuachwa.
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
7,937
Likes
4,542
Points
280
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
7,937 4,542 280
Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.

Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.

Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.

Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.

Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.

Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.

Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Mkuu asante sana kwa andiko lenye kuongea ukweli mtupu. Huu wanaouita upendeleo baadhi yao walikuwa bado hawana akili zenye kuelewa nini kinaendeleo duniani, enzi zile mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani alipopeleka lami kwa wingi sana ili barabara nzuri zijengwe jimboni kwake.

Halafu maendeleo hayana mipaka, kama kuna mtu anayetoka Sumbawanga na anazo fikra za kujenga kiwanda kwao, hakuna amzuiaye.

Kama yupo mwenyeji wa Masasi mwenye ubunifu wa kumfanya akatajirika na kilicho Masasi, hakuna amzuiaye kutajirika.

Yaani kanda ya ziwa na utajiri wote ulio ardhini isiwe na maendeleo ya kuwa na viwanja vya ndege, hospitali na mambo mengine ya kimaendeleo kwa sababu tu rais ni mwenyeji wa huko!!. That is so stupid.!!
 
Forum statistics

Threads 1,235,832
Members 474,742
Posts 29,237,538