Recent content by Bang'arara

  1. B

    Azam TV, wizi kwa wote

    Nahisi hii itakuwa hasira ya kung'olewa na wasudan katika champions. Hatare sn.
  2. B

    Prof. Tibaijuka - Ufadhili shule ya Babro Johansson

    Bado wa2 kama hawa watapewa fursa tena na vyama vyao kugombea tena na wananchi watawapa tu kura na watashinda tena. Kazi kweli kweli.
  3. B

    Imebainika wanawake ndio wanapenda sana fedha, wako tayari kuolewa na jambazi sugu

    Yeah ndo mambo ya JF haya kila neno utalipata. Me nimeomba msaada so kama unayo weka na kama huna potezea tu coz nazihtaji kwa haraka na nikitafuta kama vle ww usemavyo czpati directly. Nashukuru kwa msaada wako hata hvyo.
  4. B

    Imebainika wanawake ndio wanapenda sana fedha, wako tayari kuolewa na jambazi sugu

    Msaada plz JF. Mawacliano ya itv/radio one, clouds or global publisher. Sor for interruption ya mada..
  5. B

    Aminizidi ujanja nifanyeje?

    Au bikra hyo kaka? Any way uconyeshe njaa saana nenda aste aste tu kama mastory meng ya mapnz, kumjali, calls & sms mara kwa mara kifupi aamini kuwa unampenda na kumjali kuptia matendo yako. Akishakolea yeye mwenyewe atainitiate tu "baby leo nahitaji tuwe wote the whole day" Kama nakuona vle...
  6. B

    Shangazi yangu ananibaka kila mara, nifanye?

    Tusubiri na sisi kama ile sheria ya Uganda itakuja Tz cjui inajadiliwa kwenye hii katiba mpya maana itawafaa sn watu kama shangazi yako. Kwanza hongera kwa kutopenda maana ingekuwa mwngne angeshazoea na kupenda hyo ki2. Mwambie ukiwa serious kuwa hutaki ucmuogope na kama vp toka hapo nyumban...
  7. B

    Mke amkwida binti wa saluni wakati akimpaka mafuta mumewe!

    Itabidi na sisi 2wacndikizage kwa mafundi nguo wake zetu, tehe tehe then tushuhudie nyonya inavyopimwa, tehe tehe...
  8. B

    Natafuta wateja wa mkaa...

    Bila shaka umepanda miti mingne kureplace uliyokata kama wasemavyo kata then ... Malizia mwenyewe mkurugenz.
Back
Top Bottom