Recent content by BANGABABO

  1. BANGABABO

    Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni kipande cha fupa atakaye kuja kulitafuna hayuko kwenye kizazi hiki ninaona safari ndefu yenye shida hata kufikia tulipofika na si kwa kuzingatia sheria ni utashi tu
  2. BANGABABO

    Alichokisema CAG Kichere kuhusu Tsh. Trilioni 360 za TRAB na TRAT

    Kauli hiyo ya CAG ilikuwa inahitaji majibu ya kumsaidia kufuta hoja hiyo ya ukaguzi sina uhakika kama majibu yaliyotolewa au hayakutolewa?
  3. BANGABABO

    Hizi ndizo Shahada za Heshima na Tuzo alizotunukiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Mwl.alisoma na kuelewa dalili za nyakati hakuona wapi atapata msaada alichagua kuto kubaliana na masharti ya taasisi za fedha ya nayo endeshwa na mataifa ya kibepari, mwl, aliamini kuyakubali masharti ya kibepari ktk nchi nikulipeleka taifa shimoni ni bora kutakata na kuamua kung'atuka...
  4. BANGABABO

    Ni wapinzani gani walotishia kumchinja na kumtupa baharini Rais Magufuli?

    Rais kwa nafasi yake bado ni mwanaadamu/si malaika lazima mapungufu yapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. BANGABABO

    Tundu Lissu atua Jijini London, Uingereza

    Linalowezekana kwa mungu kwa mwnaadamu haliwezikani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. BANGABABO

    Swali Tatanishi; Polisi wa Dhahabu Mbona Hawakushtakiwa Kijeshi na Kufukuzwa Kwanza?

    Mijadala/makongamano yanayo fanyika kama haya yana tija ktk jamii kuto onyeshwa ktk vyombo vya habari na wachache kupata taarifa hizi kupitia mitandao ya jamii ni kuwarudisha nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. BANGABABO

    Membe na vijana wake kuhamia CHADEMA 2019

    Safari ya kuelekea kwenya ukombozi/mabadiliko ni ngumu mtapitia ktk hatua tata nyingi, kikubwa kiwango cha uvumilivu kina hitajika,kutoka kwa maccm kwenda upinzani kunachangamoto nyingi hawa jamaa wamewekeza na wana masilahi yao ndani ya ccm.ujio wa mhe Lowassa na kundi lake walikua na asilimia...
  8. BANGABABO

    Suala la mgunduzi wa Tanzanite linatufunza nini watanzania?

    Williamson diamond mine (mgodi wa alimasi shinyanga)mgunduzi wa mgodi huu,kwa kitendo alichokifanya cha ugunduzi kwanza mgodi huu unatambulika kwa jina lake(WILLIAMSON) na la pili kwa kila mapato ya mgodi huu williamson analipwa kwa kipindi chote cha maisha ya mgodi huu ataendeliea kulipwa hii...
  9. BANGABABO

    Mkutano Mkuu wa BAKWATA kufanyikia ktk Ukumbi wa Bunge ni ghiriba za watawala kuwagawa wananchi?

    Maisha ya kawaida na kumuanda mwanadamu kuawa muadilifu sirahisi kutofikiria wigo wa maisha ya kiroho(dini).viongozi wengi sana0 waliyopata malezi ya kiroho(dini)wamekua wakitenda kazi zao kwa kumuogopa muungu kwa hiyo kutenganisha siasa na dini sirahisi kama tunavyo fikiri
  10. BANGABABO

    Mfumo Wa Vyama Vingi Kufutika Duniani

    Mmm,historia inatengenezwa na mwanadamu pengini kwa njia zisizo wazi,zilizo wazi au kutokana na mazingira yaliyopo.msuguwano huu utalete makundi makubwa mawili yaliyo na nguvu.
  11. BANGABABO

    Philipo Mwakibinga wa WARAMI awajibu maaskofu wa KKKT; adai wanatumiwa na CHADEMA

    Mikakati imara na sahihi hupatikana kaitika migongano ya fikra zilizo tofauti na ukitaka kupata udhaifu futa kutokuwepo kwa migonagano ya fikra ambayo ndiyo chanzo cha kuchagua fikra iliyo sahii.
  12. BANGABABO

    Viongozi wetu wa Tanzania angalieni kinachoendelea Marekani na mjifunze

    Walinzi wa amani na usalama katika maandamano ya kuwalinda waadamanaji nao wanabeba silaha za moto ustarabu wa kisiasa upo wapi?
  13. BANGABABO

    TLS yamvimbia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, yatangaza uchaguzi kufanyika kwa kanuni za zamani

    Baraza la uongozi la (TLS)ndio chombo peke chenye mamlaka ya kutunga sheria au kufanya marejeo ya sheria zake huyu mwanasheria mkuu ni kweli hafahamu au kazi unafanya kwa maagizo(ku remotiwa) kama alivyo fanya mwenzio Amphre polepole wa ccm alipokua kigoma kutengua mamuzi halali ya baraza la...
Back
Top Bottom