Recent content by bandah

  1. bandah

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Haya hayawezi yakawa mawazo ya mtu timamu...... Hata mimi nakazia kuwa watu wote ni viumbe hadi raisi ni kiumbe
  2. bandah

    Ushauri kati ya architecture na Petroleum Engineering

    Mmmmh hii mpya....petroleum ajira nje nje.... Achana na zote hizo nenda chuo cha maji ukasome water resources engineering kama unataka ajira...... Ila kama unataka kuwa mmbunifu nyumbani kwenu jipeleke unapotaka kwenda
  3. bandah

    INAUZWA Tiba dawa za asili za uhakika kabisa

    Physical address please
  4. bandah

    Kompyuta desktop inahitajika

    Habari zenu wakuu Nina uhitaji mkubwa wa desk top(full set) kwa maximum price of 180,000 iwe either used au mpya Kwa anayefahamu duka kwa dar es salaam au anayeuza used tufahamishane Kwa mawasiliano 0677359028 au 0678129205 Napatikana ubungo kibo dar Shukrani
  5. bandah

    Kama course unayosoma haipo kwenye list hii jiandae kisaikolojia

    We muache ashangae tu..... Akishtuka kumekucha
  6. bandah

    Am on the air from England to Tanzania pray for me jf guys

    Hahah we are praying for you
  7. bandah

    Profile yangu ya HESLB wanamanisha nini kuniandikia hivi?

    Umekosea kulog in jarbu tena kwa usahh.... But mbona kila ninaye muangalizia wanaandika didn't apply including myself..... Hebu wenye experience watuambie
  8. bandah

    Bodi ya mikopo kimya!

    Hivi ukilipa ada mwenyewe na baadae heslb wakatoa majibu kuwa umepata mkopo na wakakulipia ada...inakuwaje hapo...the money is refunded or ndo inakuwa imekula upande wa boss...???
  9. bandah

    Waliochaguliwa WATER INSTITUTE majina haya hapa

    Tembelea www.wdmi.ac.tz kuona majina ya waliochaguliwa. Kwa water resources and irrigation engineering na wale wa program za diploma
  10. bandah

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Poa big asante kwa kunipa moyo coz niliweka first priority baada ya kushauriwa kuachana na mechanical engineering ILA naomba kukanusha kuwa mimi sijasema ajira zipo za kuTosha
  11. bandah

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Wameshatoa...nenda kwenye website ya chuo
  12. bandah

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ....najua kwanini umesema nisikuulize COZ huna uhakika na ulichosema.... My take:-tusubiri watakao maliza mwakani tuone mwisho wao utakuwa nini.... Alafu hapa tupo kwaajili ya kuelimishana on different aspects sasa unapojua kitu alf...
  13. bandah

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Best answer... I have got an idea...kumbe diploma mpo wengi ndio maana mnasota kitaa... By the way..kwani ni factor gan zinazotumika au mtu akizifikia hupata ajira bila tabu...???? NB;-Cjui kitu naomba unieleze kinagaubaga unavyoelewa wewe
  14. bandah

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Kwa taarifa nilizozipata ni kuwa next year ndio chuo kinatoa tunda la kwanza kwa upande wa degree... Sasa mkuu hebu tufafanulie hao wanaosota huko mtAani ni akina nani...(excluding diploma students)... NB:-Usitumie nguvu,hasira wala kinyongo kutoa maelezo maana tunaouliza tunataka kujua coz ndio...
Back
Top Bottom