Profile yangu ya HESLB wanamanisha nini kuniandikia hivi?

Profile yangu ya HESLB wanamanisha nini kuniandikia hivi?

Nassib nyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
962
Reaction score
471
5f05bbfe1d953bb6f7900bfd1c31b23b.jpg
 
Umekosea kulog in jarbu tena kwa usahh....

But mbona kila ninaye muangalizia wanaandika didn't apply including myself..... Hebu wenye experience watuambie
 
andika index number katka huu muundo kwa mfano S1230.0044.2013 tHen andika pasword kwa ufasaha afu uingize zile code kwa ufasaha tena then utakuwa logged in succesfully
Sawa Mkuu ngoja nijaribu tena
 
Umekosea kulog in jarbu tena kwa usahh....

But mbona kila ninaye muangalizia wanaandika didn't apply including myself..... Hebu wenye experience watuambie
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
1476032127964.png

Wakuu nmechek nmekuta iv lakn naona n tofaut na wenzang kabisa.
Wanasema et n click loan status kuangalia.
Apa n vp nisaidien maana cjawaelewa
 
Af sijajibiwa....rejea main topic ang apo juu zjaelewaa wakuuu
 
Aseee nmechek wananambia et'print your completed fom inamanaa ni print mara mbili,,,???kweli awa jauuuu
 
Af sijajibiwa....rejea main topic ang apo juu zjaelewaa wakuuu
Mkuu na mm nilkosea kama ww katka kulogin uyo kk apo juu ndio kanisaidia
Unaandika iv S1563.0008.2013
Alaf na kuingza password na zile code walizokuekea
 
Nimeingiza ivo mkuuu...lakin mwisho wananiambia niense kwwny lon status nikilog kule wanaxema print your completed fom..sasa najiuluza niprint mara ngap???au mwwny uelewa tfaut ps
 
Nimeingiza ivo mkuuu...lakin mwisho wananiambia niense kwwny lon status nikilog kule wanaxema print your completed fom..sasa najiuluza niprint mara ngap???au mwwny uelewa tfaut ps
Ndio ivyo ivyo Mkuu ata mm limenikuta.
Inamana wakikwambia ivyo tayar umeshaingia kwenye account yako.
C unaona hapa
1476033266581.png
 
Huo mwandiko unaenda nao chuo kikuu? Sitashangaa ukirudi na bandiko la kuliwa kichwa..
 
Dah,,you have not secured lon,,,,you have completed 0 of 5 steg,,,,mbn nilimaliza na jina lan alikuepo kwwny wlokosea??
 
Wapite hiviiii,,chuo lazimaaa tar 15 ntakuwa wakwanzaaaaaaaaaaaaaaAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom