Recent content by banburydude

  1. banburydude

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mabomba ya maji kutoa maji ya tope

    Uko sahihi mwamba kuepuka hii mambo ni bora mtu kuwa na Kisima chako Ila tatizo ni njuluku siyo wote tuko kama wewe mwamba shida ndipo ilipo, concern yako ni sahihi kabisa.
  2. banburydude

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mabomba ya maji kutoa maji ya tope

    Jamani haya maji ya tope yanayotoka bombani ni maeneo yote ya jiji la Dar au ni baadhi tu ya maeneo? Hii ni hatari, DAWASA fanyeni something kurekebisha hii hali.
  3. banburydude

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Kuendelea kwa matengenezo ya umeme katika mitambo ya maji ya Ruvu juu na Ruvu chini

    Maji vipi maeneo yenu wanajamii leo? Dah! toka asubuhi hatuna maji mpaka napoandika muda huu still nothing katika taps maeneo yetu ya Boko Basihaya, what’s going on DAWASA?
  4. banburydude

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaletewa Mpina kuwamaliza

    Sidhani kama Chadema wanaweza kurudia makosa ya previous Election, they are smart enough. Anyway let’s wait patiently.
  5. banburydude

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa

    Mkuu hiyo shule uliyotoa hapo juu ni top notch, watu wanapiga sana pesa. Mayooo Twafa.
  6. banburydude

    JamiiForums Tanzania Usafiri, kwa mhitaji wa usafiri nijuze.

    Hahahaha…. Uko sahihi ni kama slangs zetu za Kiswahili. ‘Nijulishe’ ndiyo sahihi.
  7. banburydude

    JamiiForums Tanzania Usafiri, kwa mhitaji wa usafiri nijuze.

    Asante mwanajamii. Aina ya gari ni Daihatsu Terios Napatikana Mbezi Beach Makonde namba nimetoa hapo juu, Uzoefu niwakutosha, nimeendesha muda toka enzi za magari ya manual, Jinsia ni mwanaume wa miaka 50+ Usajiri unakamiliki muda si mrefu, Aina ya bima ni 3rd party.
  8. banburydude

    JamiiForums Tanzania Usafiri, kwa mhitaji wa usafiri nijuze.

    Wana jamvi wenzangu, Nina usafiri wangu binafsi natafuta abiria, tuwasiliane kama unahitaji au kuniunganisha kwa mhitaji % ipo, nipo Mbezi Makonde Dar es salaam.. Contact 0787711528.
  9. banburydude

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Kuna changamoto ya sauti kusikika au ni luninga yangu sijuhi!
  10. banburydude

    JamiiForums Tanzania Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

    Baada ya maelezo hayo huyu so called Kadhi Mkuu angesema chochote angalau jamani kutuweka sawa au? [emoji1745][emoji1745]
  11. banburydude

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    This issue is serious kwa mustakabali wa nchi yetu. Kwa nini wasifanye kama makampuni ya simu if at all they care! Kampuni nyingine zi compete kutoa huduma hizi shida zitakwisha kabisa na prosperity ya nchi vividly yataonekani. Let us try this please, Tanesco is killing us!
  12. banburydude

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Mfano ni China wako overpopulated lakini wanapiga hatua kila uchao, issue hapo ni u smart wa viongozi walioko na u patriotism.
  13. banburydude

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

    Mdahalo. Sidhani kama Mh. Makonda ni sahihi kukutana na cream ya CDM, naona siyo size yake, ana lots of discrepancies itakuwa aibu na siyo rahisi kutoa maelezo ya kuzi clear kwa umma zikaeleweka.
  14. banburydude

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano kuna haja kuendele kususa na kuzira? Njooni mezani, tukae pamoja, tuwe wamoja, twende pamoja!

    Ukisikia kuwamwagia kunguni CDM Pascal kajitahidi sana, this has been for a long while now, wampe post kama aliahidiwa hivyo, and am told he went to school what’s the point of being educated? Sad.
Back
Top Bottom