Tuwe na subira viongozi wa UKAWA watatupa mwongozo na maamuzi utakao fuatwa na vyama vinavyo unga umoja wa UKAWA, tuwaamini viongozi wetu na Mwenyezi Mungu awape busara
Tunasubiri mabosi wa anga wamejifungia sasa wanatafakari njia ya kuzuia mpango huo, wasikilize wakitoka huko...... hakuna ruksa chopa mbili kuruka kwa wakati mmoja ndani ya mkoa zitagongana, marubani wawe na uzoefu wa miaka 35 na vibali vya kuruka na kutua polisi loh !!! watabebeshwa majukumu na...
Hii ndiyo CHADEMA Watanzania tunazidi kupata imani, hivi sasa mipango yenu kweli inatudhiirishia mna uwezo na nia ya dhati ya kutuongoza,kuwaunga mkono ni kwenye sanduku la kura.
Viongozi wa taifa BAVICHA - Baraza la vijana chadema, tuzo na picha mliopewa na familia ya muhasisi wa taifa letu lina maanisha haya, mlivyo tembea kutoka mwanza hadi butiama kupinga mauaji ya albino, muhasisi wetu naye alitembea umbali huo kuunga azimio la Arusha.mlivyo vaa magwanda naye...
Huo ni wimbo kama nyimbo zingine mlizo imba na zikachuja, baada ya mliowafanya Wadanganyika kuwa werevu na kamwe hawadanganywi tena, wanasubiri usawa wa sanduku la kura
Muungano wa UKAWA ndiyo ilikuwa kilio na matarajio ya Watanzania wengi, na viongozi wa vyama hivyo wametekeleza matakwa ya Watanzania na si Wadanganyika tena. ni kazi kumdanganya tena anajua ulimfanya akubali kumdanganya kwa maslahi yako, hawa waliokuwa Wadanganyika ndiyo watakao ilinda na...
kwa maneno yako ulisema UKAWA ni wasakatonge na kugawana madaraka... maneno yako yanaonyesha jinsi ulivyo mbali na vyama vingine vya upinzani je huo si usaliti ? sasa Watanzania wanapata nafasi ya kusoma rangi zako
Wananchi wa njombe pamoja na hayo yote mnayo nafasi ya kuwahoji na kuwapima, na kuwapa majibu kwenye sanduku la kura.... mjiandikishe ili mpige kura haki yako kikatiba
Kweli hawa ni watoto wetu, wadogo zetu kama kweli wapo katika hali hiyo, mamlaka husika waingilie kati kuwasaidia hawa watoto si jambo la kufurahia hata kidogo, wazazi chukueni hatua za haraka watoto wafike nyumbani.. na mkono wa MUNGU uwaongoze.
Lema ataudhuria mikutano mitatu tu ya kampeni uzinduzi, katikati ya kampeni atakuja kusalimia makamanda wanao ongoza kampeni na siku ya kupiga kura atakuja kupiga kura yake na kutangazwa mshindi.... aidha siku zingine atakuwa ana wapa support wagombea kwenye majimbo mengine Tanzania... hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.