Recent content by Bambo Jr

  1. B

    I am sorry mabinti wa kichagga

    Mmakonde unakwenda kuoa mchaga wapi na wapi lazima atakutesa tu.pamoja na kwamba hatuna ukabila.
  2. B

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Kamaatakayeshitaki jini kweli itakuwa vigumu kukmjua mwenye dowans. Lakini kama atakayeshitaki ni binadamu tutamjua tu.hivi mwanakijiji pamoja pamoja na tafiti zako zote zilizo kwenda shule na makini unashindwa kututajia mwenye dowans. Mimi ni mmoja wa watu wanaokuheshimu sana ebu tusaidie...
  3. B

    Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

    Muongo mkubwa, anasumbuliwa na tamaa na nyege mshindo. Anashinwdwa nini kumwambia huyo jamaa yake afanye hivyo anavyotaka ili amfurahishe. Kwani atashindwa. Amwambie tu huyo mumewe nisugue ndio nasisimka sana kwanikuna tatizo. Mbona sisi wengine tunaambiwa nisugua hapa na tunasungua mambo...
  4. B

    Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

    Labda nabii issa akirudi ndio utajua ugonjwa wake vinginevyo ng"ooooo.na hta ukijua itakusaidia nini ndg yanu???we mwombe uzima tuu kama ulivyofanya.
  5. B

    Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

    wala siomaneno yakehayo katumwa kama alivyotumwa ngomalemwiru. na bado watumwa sana.jana gwiji la mafisadi limeonekana katika luninga linachangia ujenzi wa kanisa na viongozi wa kanisa wanafurhia pesa ambazo wanajua fika zimetoka wapi. inasikitisha. imaumiza na inatesa sana. HIVKWELI MAFISADI...
  6. B

    Hosea aligeuzia Bunge kibao

    Hosea ondoka takukuru. Umeshaboronga unang'ang'ania nini?? Pesa umeshapata tena nyingi kwa kumlinda lowasa hata hivyo imeshindikana ameng'oka. Sembuse wewe??? Ipo siku utang'oka tu tena vibaya.wataliano wanamsemo wanasema nanukuu. 'vox populi vox dei' utajaza fisadi mkubwa.
  7. B

    Meneja atupwa jela miaka 250 - Mfano wa Kuigwa

    Ndg zangu watanzania chonde chonde muwe mnatafari mambo kwa undani. Huyu jamaa kafungwa miaka yote hiyo hakuwa na pesa za kuonga hakimu na mwendesha mashittaka.Nakupongeza Mzalenndo halisi kwa kuliona hilo.Hafungwi mtu nchii kama unazo fedha bwana huo ndio ukweli wenyewe.
  8. B

    Kula huku kula gani?

    Hongera sana Mkuu mwanakijiji. nina mashaka sana kama watz wanakuelewa kama mmi nilvyokuelewa.nakuthamini sana na husichoke ipo siku watz watakuelewa tu.
Back
Top Bottom