Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

mimi ningetulia na kumuuliza taratibu ili nijue ninini hicho anachofanyiwa alafu kupitia yeye ningempa kipya kuliko hicho,unajua mapenzi yanahusisha hisia zaidi na pia yanahitaji sanaa zaidi,we need to be creative!!
 
Muongo mkubwa, anasumbuliwa na tamaa na nyege mshindo. Anashinwdwa nini kumwambia huyo jamaa yake afanye hivyo anavyotaka ili amfurahishe. Kwani atashindwa. Amwambie tu huyo mumewe nisugue ndio nasisimka sana kwanikuna tatizo. Mbona sisi wengine tunaambiwa nisugua hapa na tunasungua mambo yankuwa supa. Kwanza akikuambia hivyo ujue kakuchoka mpige taraka kumi fedhuli, duyuth ibin kuduth.
 
mimi ningetulia na kumuuliza taratibu ili nijue ninini hicho anachofanyiwa alafu kupitia yeye ningempa kipya kuliko hicho,unajua mapenzi yanahusisha hisia zaidi na pia yanahitaji sanaa zaidi,we need to be creative!!

Hapo umenena na sio kina dada au kina mama kuomba kufanyiwa mambo fulani wafanyiwe hata sisi wanaume tunatakiwa tuwambie nini vinatupendezesha tukiwa katika hali kama hiyo ,kwa mfano binafsi hupenda mwamke anapotowa nicker yake akiwa miguu kainyanyuwa kwa kuielekeza upande wa darini.
 
hiyo kitu kama unamoyo mdogo unaweza ukazilau,ila cha msingi ni kujikaza kujidai kama ujasikia vile bila kumwonyesha chuki yeyote,mpaka pale utakapojua ni nini hicho anachofanyiw,then rasmi unamtoa nduki kwa dhambi ya uzinzi.then unakwenda kutoa mautam kwa kimwana mpya.
 
Back
Top Bottom