Recent content by balzac

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Ufahamu wako ungekua mkubwa ungejua pegylated inteferon inafanya nini. Na pia ungejua dawa nyingi ambazo zimeshawahi kutumika zenye clearance na seroconversion rates tofauti. Pia watu wengi wanaambukizwa kwa kujamiiana, ndio maana co-infection na HIV ni common, pia kupitia blood products na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Mtoa mada unaupotosha umma wa watanzania. Si kweli kua watanzania wote wana virusi vya homa ya ini. Na hakuna duniani nchi ambayo wananchi wake wote wameathiriwa na hepatitis B virus.Hakuna survaillance iliyowahi kufanyika nchi nzimà, lakini kuna tafiti mbalimbali zimefanyika kuangalia ukubwa wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya hazina na VODACOM?

    si kweli kua unatakiwa kulipia kwa mpesa pekee. utaratibu huo umeanza toka mwezi wa nane mwaka jana, na unaweza lipa kwa mpesa,tigopesa,airtelmoney na maxmalipo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika inayompeleka Membe Ikulu na kuzika ndoto ya Lowassa...

    umegundua ukweli
  5. B

    JamiiForums Tanzania Toyota allex inauzwa

    ndio nyie mnataka uraia wa nchi mbili wakati mna dharau mlikotoka kiasi hicho??? bara la giza???
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha atoa tamko kali kuhusu Lowassa

    mzee alishindwa kuwashawishi wanachama wa jimboni kwake. leo anataka kuwashawishi watanzania wote!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wadau Sicle Cell inaniangamizia mtoto wangu msaada wa haraka jaman

    upo mkoa gani? kama upo dar, mpeleke muhimbili. wana kitengo maalum cha kuhudumia matatizo hayo. kama upo mbali jaribu kutafuta hospitali yenye daktari bingwa wa watoto utaweza kupata msaada.pole sana.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria:nimeenda kuripoti wamenikataa wamenirudisha psrs

    wanatoa majibu rahisi hivyo? kweli huwa tunailaumu serikali kwa utendaji mbovu, lakini lawama hasa zilitakiwa ziende kwa wafanyakazi husika . baadhi ya wafanyakazi wa serikali (inaweza ikawa wengi wao) utendaji wao ni poor kabisa.utafikiri hawana qualification. wamejizoesha kufanya kazi bora...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Terios mpya for sale 6.2mil

  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    pole sana ndugu. kama mchangiaji alivyo comment hapo juu, ni vyema ungeongeza details kama gender ,age, elimu yako na ujuzi ulionao, why uko lonely? je huna ndugu au rafiki wa karibu? ushauri wangu kwa kuanzia unatakiwa ujitoe katika kifungo cha kisaikolojia . naona hata jina umejipa 'the need'...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Anaehitaji Nissan Xtail

    naomba urudie tena, sijakuelewa kabisa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    hujui unaloliongea, ungekaa kimya tu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    4. Eti sio vizuri kumuongelea mtu akiwa kafa - huyu aliyetoa hii nafkiri hata form 4 hakufika au kama alifika hakuelimika! Wewe kiongozi wako anakufa bila kuelezwa sababu unasema watu wasiulize. Hehehe. Kuna akili zingine hata pakuanzia kuform arguments nazo huoni. Kuna kitu tu hapa kwenye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Re: Nyumba inapangishwa

    Tangazo lake liko very clear kua atakabidhiwa apartment yake, iliyopo ubungo nhc. kwa taarifa tu incase huna ufahamu huo, nhc waliuza apartment zao ambazo zilikua kwenye ujezi.kwa sasa ndio zinakamilika.Tujifunze kusoma vizuri tangazo kabla ya kuanza kushambulia mkifikiri mnaonesha ujuaji wenu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka is smart and good Now..

    Kadoda wewe umeshawahi kupigania haki yeyote? Ulifikia wapi katika mapambano yako? Usifikirie kua kudai haki ni kitu rahisi hivyo. Tusiwakatishe tamaa wapiganaji wakat wewe unakaa oficn unacomment tu watu wana risk maisha yao kwa ajili ya wengi. Hali ya afya Tz ni mbaya kuliko unavyoweza...
Back
Top Bottom