Re: Nyumba inapangishwa

Karikenye

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
565
500
Natarajia kukabidhiwa apartment yangu kwenye maghorofa mapya ya ubungo NHC sometime in January 2014, nyumba ina two bed rooms, choo, bafu, sebule na Jiko IPO FIRST FLOOR nyumba ipo kwenye PRIME AREA rent ni 400,000/= In case you think of renting it just in box me!
 
LIBRARY

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
234
0

mi mgeni dar Prime area ndio wapi, Ni-PM more details
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0
Natarajia kukabidhiwa apartment yangu kwenye maghorofa mapya ya ubungo NHC sometime in January 2014, nyumba ina two bed rooms, choo, bafu, sebule na Jiko IPO FIRST FLOOR nyumba ipo kwenye PRIME AREA rent ni 400,000/= In case you think of renting it just in box me!

Acha kufanya udalali wewe, kama una nyumba waachie wengine siku NHC ikianza kufuatilia wajanjawajanja kama wewe unaanza kulalamika, nafikiri hata mkataba wa NHC hauruhusu SUB-Let.........acha kuendeleza mnyororo wa ufisadi dogo.
 
balzac

Member
Jan 5, 2012
84
95
Acha kufanya udalali wewe, kama una nyumba waachie wengine siku NHC ikianza kufuatilia wajanjawajanja kama wewe unaanza kulalamika, nafikiri hata mkataba wa NHC hauruhusu SUB-Let.........acha kuendeleza mnyororo wa ufisadi dogo.

Tangazo lake liko very clear kua atakabidhiwa apartment yake, iliyopo ubungo nhc. kwa taarifa tu incase huna ufahamu huo, nhc waliuza apartment zao ambazo zilikua kwenye ujezi.kwa sasa ndio zinakamilika.Tujifunze kusoma vizuri tangazo kabla ya kuanza kushambulia mkifikiri mnaonesha ujuaji wenu kumbe mna-expose ujinga wenu
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0
Tangazo lake liko very clear kua atakabidhiwa apartment yake, iliyopo ubungo nhc. kwa taarifa tu incase huna ufahamu huo, nhc waliuza apartment zao ambazo zilikua kwenye ujezi.kwa sasa ndio zinakamilika.Tujifunze kusoma vizuri tangazo kabla ya kuanza kushambulia mkifikiri mnaonesha ujuaji wenu kumbe mna-expose ujinga wenu[/QUOTE

Upo fast, hngera kwa kutumia ID tofauti JF.....,Happy New year,2014
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom