Wasingetumia hadi kwenye mahospitali makubwa na mahoteli makubwa kama hazina kazi ya kufanya kiongozi, kama hujawahi kutumia ni bora ukae kimya kiongozi au ujaribu kutumia usikatishe tamaa wenzako.
Kama mtu anakusaliti huwezi kuacha kugundua awe mwanamke awe mwanaume, lazima kuna mabadiliko utayaona tu, hakunaga ujanja katika hilo labda awe siyo mfuatiliaji na hana time na wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.