Recent content by Balunyu95

  1. B

    Kuwa mwanachama hai wa CCM ni fursa ya kipekee sana kwa wewe mzalendo kutimiza wajibu wako kwa taifa lako na ndoto zako katika maisha yako

    Uongo mtupu, watu tunakari miaka mingi mpaka tunatamani kuzichoma Moto hakuna faida yeyote
  2. B

    TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Hii ndo mbaya , interview ya NEC tu wanesahihisha majina sembuse hii , hapa ni mwendo wa tuma kias Fulani jina tuliweke
  3. B

    SoC04 Maendeleo katika taifa huja kwa mipango ya muda mrefu na utekelezaji

    Baada ya miongo kadhaa kupitia nchi ya KIMANILWE NTEMI, ilipitia misukosuko mingi, ikiwemo rushwa, uchu wa madaraka. Hali hiyo ilisababisha nchi kukosa mwelekeo kwasababu Kila mtawala aliyekuwa anaingia sio kwajili ya kulisaidia taifa liende mbele bali kwa manufaa binafisi na kujilimbikizia Mali...
  4. B

    Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

    Biashara ya kuchukua matenga ya nyanya kutoka shambani napeleka sokoni
  5. B

    Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

    Ahsante nishatuma whatsapp
  6. B

    Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Tuition ya nyumban ni bora na salama kwa mtoto , nafundisha mathematics na physics kwa o level na advance napatikana mwanza micheki whatsapp 0620591401
  7. B

    Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

    Naomba Kwa mwenye uhitaji nauza simu yangu nipate hata mtaji nianzishe ujasilia Mali ni Infinix smart 6 Ina miezi kumi Toka ninunue nauza 120k wakuu make kazi zimekuwa ngumu
  8. B

    Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

    Amina ,, ahsante sana
  9. B

    Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

    Ahsante mkuu nimeenda Pele pamejaa,,, Nia yangu nipate kazi yeyote tu Ile halali hata kufundisha pia kama shule ikipatikana Kwa physics na mathematics naweza
  10. B

    Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

    Mimi ni kijana wa kiume elimu yangu form six natafuta kazi yeyote ili niweze kuendeshea maisha napatikana mwanza
  11. B

    NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

    Kwenye akaunti hela haijaingia au kunashida?
Back
Top Bottom