Hao wanaume wengi wao they're simply ignorant kuhusu female nature, kama wanaume wa zamani walivokuwa ignorant, Wana miradi ya wao kumudu kuendesha familia na wanafikiri kuchunwa ndio kupendwa.
We unadhani wanaume wa zamani wengi walioaje, ilikua mtu akiombwa hiki anatoa, kile anatoa...
Half american Christine_1 Missy Gf Hziyech22 Kuna baadhi wadada ni pisi balaa, ila amegonga 30+ hana mume wala mahusiano ya maana, unaeza dhani kalogwa au ana jini mahaba, kumbe sio ukichunguza unakuta yuko single sababu ya tabia yake ya kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia 🙄
Kuhudumia sio shida, ntaanzisha uzi ni attach comment za wadada nlizoziona TikTok kuhusu wao kuhudumiwa, dada yangu izo comments zinatisha, ungekua mwanaume ukaziona izo comments utaapa kutohudumia tena leo dada
Tatizo hamna guarantee kama mwanamke hakupendi ni hakupendi tu, hata mkipewa ivyo vyote haisaidii kuimarisha penzi la kweli, sana sana kidume utapewa miuno feki na affection feki, ili uendelee kutoboka Dr. Mariposa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.