Umeongea ukwel aisee,na mm naona dogo hajakosea wala hakosei anachokifanya coz ni game tu la kusaka pesa ili muda wake ukipita atabaki kuheshimika kwa pesa na maisha bora...mzik bila ujanja ujanja utaishia sifa za kijinga kama kk Mr.N
Chibu kawashka watu akili,yy sio mjinga kupost vle na anachoangalia yy sio kuzaa na Zari hapana,yy anafocus kumek pesa yy pamoja na uongoz wake,na anayepost sio yy ni uongoz wake,wenyewe wanajua jinc wanavyopga pesa kupitia majungu ya raia na matuc,dimond bado dogo sana itafika wakat atatulia na...
Nilishawah kwenda moja ya mikutano ya GNLD nilimkuta mpangaji mmoja wa bi mkubwa akitoa ushuhuda kwamba GNLD imemsaidia kuishi kwenye nyumba yake mwenyewe na kumiliki gari zuri wakat ile ki ukweli jamaa sijawah kumuona akimiliki ata pikipiki ni mwendo wa kubanana asubuh kwa daladala tu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.