Recent content by Balozi Mzalendo

  1. Balozi Mzalendo

    INAUZWA Tunauza mashine za ice cream (icecream makers machines)

    Kwa mawasiliano, tupigie kupitia 0714-086500
  2. Balozi Mzalendo

    Janjajanja ya wakatisha tickets za kuingia Magufuli Bus Terminal

    Mara kadhaa nimekuwa nikiingia kituo kikuu cha mabasi ya mikoani D'Salaam (Magufuli Bus Terminal). Kinachofanyika kwa baadhi ya wanaochukua ushuru wa kuingia mule ndani kimeniacha na maswali. Unapofika getini na kulipa pesa ili kuingia ndani, baadhi ya wakusanya ushuru wakishirikiana na...
  3. Balozi Mzalendo

    The Royal Tour (Tanzania) - itazame hapa bure

    Good move Mama towards strengthening our tourism
  4. Balozi Mzalendo

    Tunauza miche ya matunda pamoja na vifaa vya umwagiliaji

    Mimi nahitaji miche ya minazi mifupi (dwarf coconut trees). Je, mnayo? Ni sh. ngapi?
  5. Balozi Mzalendo

    INAUZWA Tunauza mashine za ice cream (icecream makers machines)

    Habari wana-jamiiforums, Tunauza mashine za kutengeneza Icecream (Icecream Makers Machines). Mashine zetu ni mpya kabisa. Pia endapo utanunua kwetu, tutakuelekeza jinsi ya kutengeneza icecream sambamba na kukuagizia spares moja kwa moja kutoka kiwandani endapo utahitaji. Sifa za mashine zetu ni...
Back
Top Bottom