Recent content by baloz89

  1. baloz89

    Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

    Bhebhe nangh'o.......sisi sio kasuku kabisa.....hatuna kiherehere Cha kuongea hovyo#hapakazi tu
  2. baloz89

    Je, Umewahi kupata kipigo toka kwa kaka zake na mpenzi (demu) wako bila kosa kwa wivu tu wanakufungia ndani kwao wanakupinga kama Mbwa?

    acha tu yaani huwa nikimwangalia na nikikumbuka ule mkong'oto wa kaka zake naishia kucheka tu!!
  3. baloz89

    Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

    hakuna dharau kama kuish kwa shemej,bora ulale stand au chin ya daraja!
  4. baloz89

    Je, Umewahi kupata kipigo toka kwa kaka zake na mpenzi (demu) wako bila kosa kwa wivu tu wanakufungia ndani kwao wanakupinga kama Mbwa?

    Back in 1997 kuna binti nilizama nae katka penzi kijijini huko nikawa namvizia zizini akiwa anakamua ng'ombe mimi nampanga maana kuonana ilikua mbinde!sasa kuna siku akanipanga kwenda kula utelezi nikaiba baiskeli ya mzee,kufika kumbe kuna wambea washachoma si nikakamatwa na bro zake, aisee...
  5. baloz89

    Hivi faragha ya kuchakatana na bikra inakuwa ni gwaride kwa kwenda mbele ama ni ziara ya mafunzo?

    Chunga mikono na mdomo wake maana utaparuliwa makucha na kung'atwa..........bikra wanaparua Kama chui na kung'ata Kama fisi.....
  6. baloz89

    Hali inatisha sana! Kujiuza imekuwa fashion

    sijakasirika mkuu ila nimejiuliza tu maswali,laki 3,2,au 5 ni mshahara wa mtu anaetunza familia halafu kuna watu wanaitoa kwa bao moja,too sad,sad indeed!
  7. baloz89

    Hali inatisha sana! Kujiuza imekuwa fashion

    Hivi laki moja kuna watu wanaichukulia kama buku au?yaani bao moja laki ~laki 5 kweli?....wenye pesa hawana ujinga wa kiwango hiki kutoa laki ~laki 5 eti kisa ngenya utakua unapgwa pesa yako ya urithi mkuu,acha kuona wanaume tuna undezi huo na hudhuria kikao cha mwisho wa mwaka!
  8. baloz89

    Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

    Yote bin yote hamu ya ngono kwa miaka hii haitabiriki maana changamoto za kimaisha zinatupeleka lukumbalukumba!
  9. baloz89

    Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Hapa itategemea kama ndugu wa mkeo wana roho za namna gani,otherwise hapo pashakua darfur maana ukioa ndo utajua kwanini ndege hawalimi lakini wanaishi!....hata na ivo kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke!
  10. baloz89

    Taratibu za Kuagiza Pikipiki kutoka nje ya Nchi

    XR 250 inatembeaje wakuu ukiagiza nje
  11. baloz89

    TIGO sasa ile laki 8 yenu ya nivushe plus tumemalizana kiaina. Ngoja nisajili line ya YAS

    Kwamba imekula kwao?...walipe tu mkuu ili uweze kukopesheka zaidi kwani kimtindo hio mikopo ya mitandao husaidia pia
  12. baloz89

    Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    hahahah,wewe mtu una roho mbaya sana!kwa hio sisi wasukuma tuna matumbo mawili kweli?
  13. baloz89

    Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    wengine hatukukulia misosi ya kwenye hotpot,vipaumbele vinatofautiana pia kwa hiyo si mbaya kila mtu akitumia uhuru wake ipasavyo!
  14. baloz89

    Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Hicho kibwagizo cha "wasukuma"ukome kututaja...oyaga gete!!hata na ivo maisha ni mafupi sana so ukipata wasaa wa kufanya jambo fanya kwa ufanisi!obheja
Back
Top Bottom