Recent content by baloteli15

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na hiz barber shop

    wengine wanailazmisha hiyo kitu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sababu sita kwanini hutakiwi kuacha kujichua ikiwa bado hujaoa(Single)

    punyeto nihatari usjaribu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa awa gumzo kwenye msiba wa John Komba

    kiongozi makini huyo roho mbaya hao wasije mdhuru
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani kufuatilia nyendo za mpenzi wako?

    mmmmmmmmmh majanga sasa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Siwezi kukubali au kukanusha kama niko chama kipya cha ACT

    fikra kwa kutumia mgongo ni hatari kiza kinene kimetanda kama ngozi zetu zilivyo madampo yetu ni free size kila aina ya takataka inaingia na kufti vizuri kabsa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Baba amtaka mwanae kimapenzi

    wakati anaanza kumtaka kimapenzi ilikuwa mwaka jana mwezi wa tisa ,lkn baada ya hapo ilnibidi nimwambie amweleze mama yake ,na hata alpo fanya hivyo walkaa na wakaongea lakn jambo la ajabu haukupita muda mrefu akawa ameanza tena vitendo kama hivyo lakni baada ya hapo mpenzi wangu alkuwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baba amtaka mwanae kimapenzi

    Ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takribani miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana. Llakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka vitisho na kumtumia mesegi za ajabu za kimapenzi na kila meseji anayomtumia ananifowadia namimi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwa makombi haya

    ktk lugha ya kiswahili hatuna neno makombi kijana mbona unaharibu lugha yako
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    mimi ni kijana wa miaka 25 ni mwanachuo wa stella maris mtwara university mwaka wa pili natafuta rafiki wa kike ambaye nitakua nabadilishana nae mawazo katika changamoto mbalimbali za maisha Mawasiliano yangu ni 0783351829
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    nashkr kwa mchango kwan msaada wa mawazo niliomba kwa wote skulenga jinsia moja
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    nashukuru mkuu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    sio danganya toto miss chagga niliamua kufanya hivyo baada kuona labda kutakua na tatizo ambalo mimi silijui na nikachukua uamuzi huo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    mkuu wazaz wangu walikuwa wakali sana walikua wananitisha mpaka nilikua naogopa hata nikiwa mbali nahisi watajua
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    mimi ni mkristo nafanya ibada mara tano kwa wiki na vilevile night dream huwa nazipata sana
Back
Top Bottom