Recent content by Ballen Gama

  1. B

    Majina ya Mikoa, Wilaya, sehemu ndani ya Tanzania pia na maana yake

    Peramiho ipo songea imetokana na neno la kingoni ambalo ni pegipelela mihu ambayo ina maana yanaporuhusu macho au mwisho wa macho kuona..,mjeruman alishndwa kutamka akasema PERAMIHO
  2. B

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Piga kazi baba lazma tudai chetu alah.....[emoji53]
  3. B

    Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    Nielekeze nikisha fika mahala naambiwa niandike while,jina,namba maana hata nikiandika hailet shule husika
  4. B

    Post za jeshi kwa wahitimu kidato cha sita zinatoka lini?

    Jaman msaada wana jf kama mtu kasikia post zimetoka naomba kunijuza ikiwezekana nipate link....nawasilisha.
Back
Top Bottom