Ballen Gama
Member
- Jan 24, 2017
- 27
- 17
Jaman msaada wana jf kama mtu kasikia post zimetoka naomba kunijuza ikiwezekana nipate link....nawasilisha.
Ok...masterWatakuja kujib
Hahahaha...cyo sanaUnamzuka wa kwenda jkt form 6 leaver
Tulia utaenda tuHahahaha...cyo sana
Ulipitia pale nn ,,kwa bwana mbelenjeUkipangwa 835KJ-KABUKU ukamsalimie CO RA kanole
Yah mkuu nilipita pale..Mambo ya Komsanga na GendagendaUlipitia pale nn ,,kwa bwana mbelenje
Yale mashamba niliyachukia sana hasa komsanga bora hata ya bwawani Yale yalikua nafuuYah mkuu nilipita pale..Mambo ya Komsanga na Gendagenda
Najua wakati unaenda bwawani ulipitia machungwa mengi ukaenda nayoYale mashamba niliyachukia sana hasa komsanga bora hata ya bwawani Yale yalikua nafuu
Eee nayale machungwa kwa kweli nilikuwa nayavuna nikishuka nikitokea angani faster kwenye machungwa tena nayabeba kweliiiNajua wakati unaenda bwawani ulipitia machungwa mengi ukaenda nayo
post za jeshi bado, na taratibu za six nadhan hakuna tena ila wote kupitia jkt huko ndiko jw watakufata...Jaman msaada wana jf kama mtu kasikia post zimetoka naomba kunijuza ikiwezekana nipate link....nawasilisha.