wana jf mi naunga mkono hoja ya kwa serikali ya tanganyika kwani kwa muda mrefu wazanzibar wamekuwa wkilalamikia mfumo wa muungano tulinao sasa,hivyo ni bora tuwe na serikali tatu,ya muungano,zanzibar na ya tanganyika,ya muungano ita deal na mambo yote ya muungano kama yatakavyokubaliwa,ya znz...