Serikali ingelifanya hivi kwenye Bandari zetu jamani ( Automated car stacking system ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ingelifanya hivi kwenye Bandari zetu jamani ( Automated car stacking system )

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 2, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Nauliza Swali hivyo viongozi wetu wa Serikali wakienda kutembelea nchi za nje hawaoni haya maendeleo jamani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh! mkuu kwa serikali ya CCM hizo standards ni sawa na ndoto yaani mbingu na ardhi!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Chimunguru unamaanisha Serikali ya CCM haiwezi kufanya hivyo? mbona Serikali ya CCM inataka kutengeneza Daraja la Kigamboni?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hii system ipo Arusha kwenye jengo linaloitwa MEGATRADE!
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,971
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Tena kichekesho nikuwa ofisi za hiyo kampuni iliyofunga hapo MEGATRADE ipo Kilwa RD opposite na Bandali.na wamefunga sample yenye magari ndani yake.labda baada ya uchaguzi wa 2015
   
 6. bowlibo

  bowlibo JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 1,646
  Trophy Points: 280
  Ee bwana eeee
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  wanashangaa tuu majengo na barabara na wakirudi hawana lolote
   
 8. andate

  andate JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Acha watu binafsi wajenge hizi. Serikali kwa sasa iboreshe huduma za afya, maji, umeme. Inasemekana pia kuna watu wana uhaba wa chakula, serikali itafute ufumbuzi wa suala hilo pia. Watu wakiwa na afya njema na lishe bora hata uwezo wa kufikiri unaongezeka. baada ya hapo waje na mikakati ya kuongeza ajira kwa kuwahamasisha wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza. sasa baada ya hapo ndio ifanye vitu kama tunavyoviona hapo kwenye hiyo clip ,inavutia kutazama lakini kwa sasa hivi na hii hali ya maisha ya mtanzania....
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Na umeme wa ngeleja huu,wapi na wapi
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Waziri wetu si watahamia wote kwa suppliers wakazisusa ofisi. Maana upanuzi wa bandari tu waliamua kugawa miaka 45 kwa mwekezaji
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Arusha ipo hii system pale jengo la megatrade complex iko full automated kama hiyo hapo tu
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Chimunguru Unamaanisha Serikali ya CCM haiwezi hata kufanya hivyo Automated car stacking system? Basi hakuna Serikali huko kwetu nyumbani.


  @Chipukizi Hiyo MEGATRADE iliyopo Kilwa RD inafanya nini? zaidi ya Ofisi tu?

  Mkuu@Mr Rocky Na wakirudi nyumbani wamesha sahau walipotoka Ulaya?

  Mkuu@Baba Baba Kwa Umeme wa Ngeleja haitowezekana labda umeme wa Jua solar ndio itawezekana kasheshe kweli Tanzania Umeme mpaka atowe ruhusa Mheshimiwa Ngeleja ndio upatikane?
   
 13. b

  balibamo Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  achilia mbali hiyo,dar port ilikuwa inajenga jengo la ghorofo kumi kwa ajili ya car park within the port,yaliyotokea si umeyasikia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...