Mimi nafanya kazi ya ulinzi
Siku ya Leo sikua vizuri nilikuwa najisika vibaya kiongozi alinikuta nimemlala nakunipga picha mi nachojua ukikutwa nakisa kama ilo unakatwa pesa lakini Cha kunishangaza amefungua group wasap nakupost picha yangu je ni sahihi Ii wakuu?
Jamani mpenzi wangu baada ya kukaa kimya leo asubuhi kanicheki na kuniomba radhi na kusema kuwa sem hakuwa nay dada yake alimuazima ili aende kupiga picha kwenye shughuli ndio maana alikuwa kimya
Nikamuuliza kwani dad yake akumachia simu yake nayey akasema dada yake hana simu pia badae...
Ilikuwa siku nzuri. Nilikuwa nikitoka Dar kurudi kwetu kijijini kutokana na ugumu wa maisha ya jiji, na mimi nilikuwa sijajipanga kifedha, hivyo maisha yalinishinda ikanibidi nirudi kijijini. Nilipofika kijijini, marafiki zangu walinipokea kwa furaha. Ilikuwa kama siku mbili au tatu, nikaanza...
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.
Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.