Recent content by bakora mdomo

  1. bakora mdomo

    Usiombe kusafiri safari ndefu na binti mrembo bila kuongea naye, utajuta

    DOMO ZEGE WEWEEEE 😂😂😂😂😂ULISHINDWAJE SASA KM HADI SIMU UMECHAJIWA NA DEMU KAJILENGESHA
  2. bakora mdomo

    Msaada wa Bei ya Mahindi kwa sasa

    chief check me on wasapp +255717809647 naitaji more information msaada plz
  3. bakora mdomo

    Watu wa Dar kanusheni na hili

    bitter truth😂😂😂
  4. bakora mdomo

    Watu wa Dar kanusheni na hili

    dodoma saivi ni jiji ko dar tunaita mkoani now,,,,,afu dar kuna shdaaa tena saaaaaaanaaa narudia tena kuna taabu sio ndogoo ,,, kwanza jiji lenyewe tuu linakera full jam kero za majirani kwa sababu karibia dar nzma naweza sema ni uswazi sababu ya msongamano wa makazi 😂😂😂 hakuna pa kupumulia...
  5. bakora mdomo

    Kosa kubwa sana wanalofanya wana chuo.

    kwanza nashukuru kwa uzi wako uliokaza, pili asante kwa ushauri wako mzuri, lkn tatu nimegundua kua shabiki siku zote huwa anatamani mchezaji angefanya vile anafikiria yeye ingekua ni vizuri km ingekua ivo. apart from that, naomba na mie niseme yangu maana me ni muhanga kwanza nikuulize wazani...
  6. bakora mdomo

    Naomba kujua vipimo halisi vya kibamia

    naona mnajadili size ya BAKORA MDOMO😂😂😂😂😂😂😂😂
  7. bakora mdomo

    Je, wewe ni msichana chini ya miaka 24? Karibu tuyajenge

    hahahahha sio dhambi ila anakua hajapata anachokitafuta ,,,,,maaana mshikaji anataka mke atakae hangaika nae kutengeneza an outstanding family so akikutana na madanga itakuaje?????😂😂
  8. bakora mdomo

    Je, wewe ni msichana chini ya miaka 24? Karibu tuyajenge

    hapo ankoli nisikufiche utapata makonkodi ya jiji,,,,,,,, yatakumaliza kila kitu then ubaki na nywele tuu na ivi wanavyojua kuzitumia😂😂😂😂😂 cha msingi we tafuta demu unaehisi utaendana nae piga voko akijaa mvute chumbani tafuna km broiler then ndo habari za maisha ziendelee😀😀😀
Back
Top Bottom