Ulinzi ni hali ya juu kabisa....mbwa wa kunusa zaidi ya 20...mbwa wa kawaida utadhani mbuzi hawana hesabu....farasi kama ulaya magari ya washa nimeona mawili... Land cruiser za polisi kama 60 zimamoto zote za kia ...arusha airport...manispaa zitakuwepo..semi trailler za bakhressa 30 za soda...
Ukisikia game iliyochezwa na kina Chenge utabaki mdomo wazi....kuanzia uspika wa mzee sita kwenye mabunge yote,mjadala kuhusu richmond na mzee bila kujuwa game akajiingiza na baadhi ya watu wake na sasa wanamalizika ki siasa kabisa.Wabunge wengi ni Team Lowassa...mawaziri ni wachache saana maana...
Wangapi watajiondoa kwa kuona umati utakao hudhuria hiyo kesho panapo majaaliwa yake Mwenyezimungu.Hivi Mzee Sita na Waziri Mkuu bado wapo uwanjani...????Wengine kwa maoni yangu wanatumia mbio za u rais kujitoa ki aina kwenye ubunge kwani wanajuwa fika hawatachaguliwa.Jamani huko UKAWA moto...
Nilikuwa sijui hayo,naona huyu na yule wa kondoa damdam...yule haongei na Mbwa bali anaongea na mwenye mbwa.Wa kondoa mukimrudisha yule bwana mtaonekana ni viumbe wa ajabu "Alliens".Body language yake inajieleza vizuri kabisa.
Mwingulu anao uwezo wa kujirudi na kurekebisha ya nyuma lakini...
Faiza .......nilikuwa nanukuu Breaking News kutoka Mwananchi kuhusu kuapishwa Rais wa Nigeria yaani makabidhiano ni salaama na tuombe kwetu pia yawe salaama ie ccm to ukawa au ccm to ccm ndiyo maana nikasema come oktomba 25th.For your info Rais wa Kenya alivunja safari ya kwenda nigeria dakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.