Recent content by Bakari Chijumba

  1. B

    TIC Wakusanya mamia ya wawekezaji kuijadili sekta ya korosho

    Na Bakari Chijumba Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amesema Tanzania inakusudia kuwa mzalishaji mkubwa wa zao la korosho Duniani ambapo imeweka mkakati wa kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapo mwaka 2023/2024 kutoka tani laki tatu na kumi na tatu kwa sasa. Akizungumza leo Ijumaa...
  2. B

    DC Ruangwa atoa wiki mbili kwa kila mchimbaji wa madini kulipia kitambulisho cha mjasiriamali

    Na Bakari Chijumba, Lindi. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Mhe Hashim Mgandilwa amewataka wachimbaji wote wa Madini wasio na leseni wala mkataba kutoka kwa waajiri wenye mgodi kununua Vitambulisho vya Mjasiliamali. Mgandilwa amesema hayo Tarehe 10 Juni 2019, alipofanya kikao katika...
  3. B

    Polepole: Wabunge wa CCM wenye nongwa kukatwa 2020

    Na Bakari Chijumba, Mtwara. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg.Humphrey Polepole amesema wabunge wa CCM wenye nongwa kila serikali inapotatua tatizo, ikiwemo mchakato wa kununua korosho,watakuwa na hali mbaya Uchaguzi wa 2020, huku akiwataka watafute kazi nyingine...
  4. B

    Mtwara kukosa maji ya uhakika kwa miezi miwili..wananchi waombwa kutunza maji yao.

    Na Bakari Chijumba, Mtwara. Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira Mtwara(MTUWASA), imesema kutakua na tatizo la upatikanaji wa Maji kwa miezi miwili,Mei hadi July 2019,kwenye eneo kubwa la Mtwara Mjini,kutokana uhamishaji wa miundombinu(Mabomba),kupisha upanuzi wa barabara Mtwara-Mnivata...
  5. B

    Rais Ramaphosa amuahidi Rais Magufuli kwamba atachukua Walimu wa Kiswahili toka Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 26 Mei, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, Ikulu Jijini Pretoria. Katika Mazungumzo hayo, Mhe. Rais Magufuli amempongeza Mhe. Rais Ramaphosa kwa kuapishwa...
  6. B

    DC wa Ruangwa awapiga marufuku Mangariba na waganga wa jadi wasio na vitambulisho vya wajasiriamali

    Na Bakari Chijumba, Lindi. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi, Hashim Mgandilwa amepiga marufuku wamiliki wa viwanja vya kucheza unyago kutumia Mangariba wasio na vitambulisho vya wajasiriamali wadogo. Amesema hayo 23 Mei 2019, wakati wa kikao cha mangariba(Wanaotahiri watoto), waganga...
  7. B

    Mo Dewji aipongeza Yanga...agawa bodaboda kwa kila mchezaji wa Simba na kuongeza mkataba wa kocha.

    Na Bakari Chiijumba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Timu ya SimbaSC , Mo Dewji amesema baada ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo,Patrick Aussems kutimiza malengo yaliyowekwa na Klabu,tayari bodi imepanga kukaa naye na kumuongezea mkataba mpya ili aendelee kuifundisha Simba SC. Kuhusu ahadi ya...
  8. B

    DC Nachingwea apigilia msumari agizo la Makamba. Ataja madhara ya mifuko ya plastiki

    Na Bakari Chijumba Katika kuunga mkono juhudi za Waziri January Makamba na wizara yake kwa ujumla katika kutokomeza mifuko ya plastiki,Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bi.Rukia Muwango,ameagiza ifikapo 01 June 2019,ni marufuku kusambaza au kutumia mifuko hiyo wilayani humo na atakayekaidi...
  9. B

    TAKUKURU yamfikisha mwalimu mkuu mahakamani kwa kosa la kumdanganya mwajiri wake

    Na Bakari Chijumba, Mtwara. TAKUKURU mkoani Mtwara Leo Mei 17,imemfikisha mahakamani aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Masasi,Wilayani Masasi mwaka 2015 Mwanaidi Mtaka,akituhumiwa kumdanganya Mwajiri kwa kuwasilisha stakabadhi inayoonesha alitumia Tsh 1,578,000 kununua vifaa...
  10. B

    TAKUKURU Mtwara kumfikisha mahakamani mfanyakazi wa NMB aliyechomeka jina la mtoto kwenye malipo ya korosho

    Na Bakari Chijumba, Mtwara. TAKUKURU mkoa wa Mtwara inatarajia kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wawili akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB wilaya ya Nanyumbu Augustino Nziku, kwa makosa ya kughushi na utakatishaji wa fedha kwa kuingiza jina la mtoto wa miaka 5 katika malipo ya korosho na...
  11. B

    Tanzia: Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Mtwara afariki Dunia

    Na Bakari Chijumba, Mtwara. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limetangaza kifo cha Mhashamu,Askofu Mstaafu wa Jimbo katoliki la Mtwara,Gabriel Mmole aliyefariki dunia leo Saa 10 alfajiri 15 Mei 2019. Taarifa za mazishi yake zitatolewa baadaye. Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Padre Charles...
  12. B

    Askofu Kakobe: Ukimgusa mmoja umetugusa wote!

    "Waliomshmbulia askofu Gwajima ni sawa na wametushambulia watumishi wote wa Mungu,hivyo tumeamua kuungana kujibu mishale yao, na kwangu hakuna mshale mpya, nimeshapigwa sana mishale na nikaishinda yote, tutawasambaratisha"~Askofu Kakobe "Baada ya RC MAKONDA kufika kwenye maadhimisho ya...
  13. B

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea ataka wanunuzi wa kangomba kwenye korosho kuwasilisha barua ili waanze kulipwa.

    "Katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli,wale waliojihusisha na Kangomba kwenye #Korosho, Nachingwea,wawasilishe barua zao za kukiri kosa na kuahidi kutorudia ili tufanye malipo yao..Mwisho wa kupokea barua ni 08 Mei 2019 saa 6 mchana"~Rukia Muwango,Mkuu wa wilaya Nachingwea.
  14. B

    TFF KUPIGA MARUFUKU MATAMASHA YA MUZIKI KWENYE VIWANJA VYA SOKA...KARIA AMWAGA PESA ZA UKARABATI.

    Na Bakari Chijumba, Mtwara. Shirikisho la soka Tanzania(TFF),limetenga jumla ya Dollar za kimarekani Million moja,kwa ajili ya kurekebisha viwanja kumi vya soka nchini,ikiwemo uwanja wa Nangwanda Sijaona uliopo mjini Mtwara. Akizungumza na wanahabari Mkoani Mtwara,06 Mei 2019,Rais wa TFF...
Back
Top Bottom