Recent content by bakar faki

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mapokezi mazito yaandaliwa na Wazanzibar kumpokea Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

    Wachumia tumbo ni wale waliobaki bungeni kwa kudoea posho huku eakijua wanachokifanya si halali
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zijue ibara ya 70-75 zilizokataliwa na mwanasheria mkuu wa Zanzibar

    Kama ni mwana sheria wa zanzibar, maana yake aliapa kuulinda katiba ya xanzibar ambayo ndiyo iliyomuajiri, Sasa angekuwa mpumbavu kuona bosi wake (katiba ya zanzibar) anaangamizwa nayeye akubali atapata mshahara wapi? Kama yeye ametumwa kwa ajili ya kuitetea zanzibar, sasa si ndio...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Francis Michael: msisahau tuna wajumbe 8 Saudi Arabia kutimiza 2/3 Zanzibar

    U DK ameupata wapi huyu mbona analeta ukilaza au ndio hao ma DK wa kufoji vyeti?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jussa: Mchezo umeisha Bunge La Katiba

    Jaman wazanzibari wenzangu kama kweli tunaipenda zanziba, tuandae maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea zanzibar kwa ajili ya kuwapokea mashujaa wetu hawa akina salma saidi na wenzake. Pia tuwaandalie usafiri wa ndege ikiwezekana kutoka dodoma hadi zanzibar, siku hiyo washajiishwe...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sitta kwa nini saa 9 alasiri? Luka 23:44-46

    Kwamana hiyo ndo unataka kusema sita anataka kuisulubisha Tanzania saa 9 hii?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wajumbe wakristo kwenye bunge la katiba wameenda mahususi kupinga fikra za waislam??

    Waislamu madhihebu tofauti lakini kitabu kilichokusanya sheria zao ni kimoja. Je! Wakristo madhihebu tofauti, vitabu je, vingapi?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Well done Kubenea-Bunge Maalum la Katiba halina Mamlaka

    Cha msingi sasa kilichobakia Mahakama itoe tamko kuwaamuru wabunge wote waliobaki bungeni warudishe fedha zote walizokula. Vile vile uteuzi wao ufutwe maramoja kwani hawafai kuwa wajumbe wa BMK
  8. B

    JamiiForums Tanzania UTAFITI; wanawake wengi wa kiislamu hawataki uwepo wa mahakama ya kadhi

    Wee ----- huna unalolijua, qur_an imeshaaeleza kila kitu jukumu la kuhudumia watoto kwa mahitaji yao yote ni ya baba sio mama
  9. B

    JamiiForums Tanzania ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

    Ingekua redio nuru au redio imani ungeshasiki, lakini ITV ah mengi ni wetu yule
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sasa adui namba moja wa watanganyika ni wazanzibar

    Chamsingi na nyinyi watanganyika mukae chini muandike katiba yenu kama walivyokaa wazanzibari na kuandika katiba yao wenyewe. Warioba aliwafungulia mlango lakini kwa upungufu wenu wa kutokuelewa hakuuona mlango huo sasa edeleeni kubaki humo humo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mahakama ya kadhi

    Tunachotaka c kupewa fedha na serekali kuendesha mahakama, bali tunachotaka ni kutambulika kikatiba ili pale tunapohukumiana kesi zetu kama vile, mirathi, talaka, ndoa na usia, isiwe tena mtu akienda mahakama za mwanzo ukumu hiyo iwe ni batili kwa sababu haipo kikatiba. Tatizo sio mahakama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mahakama ya kadhi

    Mbona na wewe hujatoa haja madhubuti za kupinga jambo hili? Unaishia kupinga tu bila hoja za msingi? Serekali haina dini lakini inaowaongoza je?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kenya kuipeleka Tanzania ICC, yadai kisiwa cha Pemba Zanzibar ni chake

    He he heeeee!!!!!!!!!, waache wakajishtaki wenyewe, sasa umefika wakati wa sisi wazanzibari kuirudisha mombasa yetu ktk himaya yetu, pamoja na maili 10 kutoka usawa wa bahari za pwani yote ya Afrika mashariki
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kundecha, afunga mjadala wa mahakama ya Kadhi, Aeleza kwa ufasaha mkubwa umuhimu wake

    Wawe na sheria wapi, na wakubwa zao akina paulo walizifuta sheria zote alizokujanazo Issa na kuweka yakwao kwa ajili ya manufaa yao wenyewe. Kanisa ni kama andhar kanoon, shea kipofu, kwao hakuna sheria wao wanategemea hizohizo za kiserekali, sasa wanatuonea uchoyo sisi wenye sheria zetu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepanga karibu na madanguro ya machangudoa hapa Mwananyamala

    Bw kipara hama hapo hapafai. Kata pua uunge wajihi. Usipoziba ufa utajenga ukuta. Na maji yakimwagika hayazoleki. Mimi nakusihi hama tafuta nyumba nyengine kabla mambo hayajaharibika kwa watoto wako, utakuja kujuta
Back
Top Bottom