Matokeo ya Form Four 2024/2025
Mtihani wa Upimaji wa Kidato cha nne (matokeo ya kidato cha nne 2024), almaarufu kama ertificate of Secondary Education Examination(CSEE), ni mojawapo ya mitihani muhimu inayosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Mtihani huu hufanyika kila mwaka kwa...
Matokeo ya darasa la saba 2023
Necta imeweka wazi kuwa Matokeo darasa la saba 2023 yatatangazwa hivi leo kuanzia muda wa saa tano Ahsubuhi. Tunawatakia Ushindi vijana wote waliomaliza darasa la saba mwaka huu.
waweza kufatilia mateo haya moja kwa moja kupitia necta au JF.
FATILIA/ TAZAMA...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023?
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
Matokeo ya darasa la saba mwaka 2022 yalikua yakisubiliwa kwa hamu na watanzania walioweni. Matokeo hayo mara nyingi hivi karibuni yamekua yakitoka mapema tu baada ya kufanyika kwa mtihani wa lasaba.
kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwei wa kumi,.
Necta imetangaz kuwa matokeo ya la saba...
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2022. Darasa la saba walifanya mtihani wao tarehe 5 na 6 mwezi octoba. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwezi october kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.