Israel ni taifa na lazima lifuate Sheria za kivita bali gaidi Hana taifa na hakuna Sheria inayombana coz yeye ni mtuhumiwa kwa Kila taifa, so Yuko free kufanya chochote. Kwahiyo siyo kirahisi kama unavyofikiri.
Hiki ni kipindi sahihi cha PROPAGANDA, na Sasa hivi humu wako wengi waliotoka kwenye mafumzo ya propaganda, labda ukiwemo na wewe. So endelea kumpaka mama Yako mafuta coz bila yeye hata haya mafumzo usingeyapata. Kwa ujumla Mimi nimekuelewa coz hii ndo kazi Yako na bila kufanya hivi ugali hupati!
We mtoa mada na wengine shauri yenu. Siku ya kifo chenu katekista atavuta kwanza fail lako la zaka kuchek kuwa ulikuwa unaipa michango vzur au la, kama liko vbaya padri hatokuja kukuzika! Utazikwa kama mbwaa!🤣🤣🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.