Recent content by Bajuda

 1. B

  Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

  Habar wanajukwaa. Naomba kufahamishwa Mtu akiwa kapoteza fahamu yaani kazirai ama kazimia. Je, muda huo anavyokuwa katika hali hiyo fahamu zake huwa zimeenda(zimepotelea) wapi? Shukrani.
 2. B

  Ufahamu uchawi wa Sigil

  Konyola said upo wap?
 3. B

  Ufahamu uchawi wa Sigil

  kaka kwema? unaendeleaje jamaa? mimi pia ni mhanga.
 4. B

  Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

  #Times9
 5. B

  Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

  Habari za saa wakuu. Nauliza kwa unyenyekevu kabisa . Kwa nini mnasema Djs Wa bongo Beatmaching inawashinda ??? Inamaana hawawezi kuset BPM ?? au hawawezi kusoma wave?? au Wave zinadanganya au ?? Sasa ni nini kinachowafanya washindwe ?? Na kwa nini wengine waweze ?? Wakati wote wamesomea ...
 6. B

  Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

  Jamaa hapo itabidi umpatie hata ya maji tu Ki ungwana zaidi
 7. B

  Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

  Kiimbiza baabaaaaa
 8. B

  Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

  NasmileTz
 9. B

  Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

  kwema?? Nami Naomba niunge kwenye hayo magroup au weka link mkuu
 10. B

  DJ's, tuambie huwa playlist yako unapanga vipi? Vigezo ni nini?

  DJs wa zamani walikuwa wanapandishia tuu ngoma kwa deki, na wengine walikuwa wanaset BPM kichwani mwao na wakivizia kwenye santuri kufanya beatlocks na kuleta ladha nzuri na ya kipekee, Naomba maelezo ya BEATLOCKS inavyofanyika. Inamaana BEATLOCKS ndo ilikuwa inafanya kazi badala ya BEATMACHING...
 11. B

  XXL vs Empire vs The Switch

  Hahahahaaaa Utani wa ngumi huo Eti Uhuru FM show
 12. B

  Club nextdoor, london lounge na maisha basement ipi club kali?

  Ukali wa kiwananja inategemea na Dj aliye ktk mashine Kama Dj mbovu bhaasi hicho kiwanja Kibovu FuruStop.
 13. B

  XXL vs Empire vs The Switch

  mnajua nini wadau?? Binafsi yangu show Kali ya Town Lazima iwe na sifa hii Kinyume na hapo bhas Hamna kitu. 1.DJs wakali.
 14. B

  Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

  Haya mkuu Rakims ntakutafuta inshaallah
Top Bottom